• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

Taarifa ya Mapato na Matumizi kwa kipindi kilichoishia tarehe 28/02/2017

11 April 2017

1.0 MUHTASARI WA MAPATO:-

Halmashaurikwamwaka2016/2017imeidhinishakukusanyanakupokeajumlayaTsh. 32,853,478,805.00kutokananavyanzovyakembalimbali,Ada shulesekondari, Uchangiajiwahudumayaafya,RuzukutokaSerikaliKuunawahisani.Mchanganuonikamaifuatavyo:-

NA
MAELEZO
KIASI
1
VYANZO VYA NDANI VYA HALMASHAURI
3,480,567,000,00
2
ADA  SHULE ZA SEKONDARI
162,120,000.00
3
UCHANGIAJI WA HUDUMA YA AFYA
212,820,000.00
4
RUZUKU KUTOKA SERIKALI KUU
19,363,173,600.00
5
WAHISANI
9,634,798,205.00

JUMLA
32,853,478,805.00


Hadi tarehe 28/02/2017 Halmashauri imepokea, aidha kukusanya jumla yaTshs.14,046,097,020.09 sawa na asilimia 43 ya makisio ya Tshs.32,853,478,805.00 kutoka vyanzo vitano.
Mchanganuowamapatonikamaifuatavyo;-

NA
MAELEZO
KIASI
1
VYANZO VYA NDANI VYA HALMASHAURI
1,135,400,029.01
2
ADA  YA SHULE ZA SEKONDARI
203,161,783.00
3
UCHANGIAJI WA HUDUMA YA AFYA
30,428,500.00
4
RUZUKU KUTOKA SERIKALI KUU
10,691,238,121.00
5
WAHISANI ZIMEPOKELEWA
1,985,868,587.08
JUMLA
14,046,097,020.09

Vyanzo vya Halmashauri pekee, zimekusanywa na kupokelewa jumla yaTshs1,268,990,312.00 sawa na asilimia 61 ya makisio ya 2,245,507,000.00 kwa mwaka 2016/2017.


2.0 MATUMIZI:-

Makisio ya Matumizi kwa mwaka 2016/2017 ni Tshs.32,853,478,805.00 hadi kufikia tarehe 28/02/2017 Halmashauri imetumia jumla ya TSH 13,409,724,771.16 sawa na asilimia 41 ya makisio kwa mwaka.
Vyanzo vya Halmashauri yenyewe makisio ya matumizi kwa mwaka 2016/2017 ni  jumla ya Tshs. 3,855,507,000.00 katika maeneo makuu yafuatayo:-

NA
MAELEZO
KIASI
1
ADA SHULE ZA SEKONDARI
162,120,000.00
2
UCHANGIAJI WA HUDUMA YA AFYA
212,820,000.00
3
MISHAHARA
79,380,000.00
4
MCHANGO KWA MIRADI YA MAENDELEO
720,709,350.00
5
MCHANGO KWA WANAWAKE NA VIJANA
348,056,700.00
6
MATUMIZI MENGINEYO(MATUMIZI YASIYOKUWA YA MISHAHARA)
1,308,339,000.00
7
MIRADI YA MAENDELEO
1,024,081,950.00
JUMLA
3,855,507,000.00


Matumiz ikutokana na Vyanzo vya Ndani hadi 28/02/2017 ni Tsh.1,359,563,396.54 sawa na asilimia 60 ya makisio ya Tsh.2,245,507,000.00. 

Mchanganuowamatumizihalisiyafedhanikamaifuatavyo:-

NA
MAELEZO
MAKISIO
MATUMIZI
%
1
ADA SHULE ZA SEKONDARI
162,120,000.00
173,161,783.00
107%
2
UCHANGIAJI WA HUDUMA YA AFYA
212,820,000.00
30,428,500.00
14%
3
MALIPO YA MISHAHARA
79,380,000.00
29,798,000.00
38%
4
MCHANGO KWENYE MIRADI  YA MAENDELEO
720,709,350.00
68,693,002.00
10%
5
MCHANGO KWA WANAWAKE  NA VIJANA
348,056,700.00
49,284,350.50
14%
6
MATUMIZI  MENGINEYO  (YASIYOKUWA MISHAHARA)
1,308,339,000.00
747,001,121.04
57%
7
MIRADI YA MAENDELEO
1,024,081,950.00
291,626,140.00
28%

JUMLA KUU
3,855,507,000.00
1,389,992,896.54
31%


2.1 RUZUKU TOKA SERIKALI KUU:-
Makisioyamatumizikatikachanzohikikwamwaka2016/2017niTshs. 19,363,173,600.00hadikufikiatarehe28/02/2017fedhailiyotumikaniTshs10,626,994,562.00. Mchanganuowamishaharanamatumiziyakawaidanikamaifuatavyo:-

NA
MAELEZO
MAKISIO
MATUMIZI
%
1
MATUMIZI MENGINEYO (OC)
2,383,762,000.00
276,522,762.00
12%
2
MISHAHARA
16,979,411,600.00
10,350,471,800.00
61%
JUMLA
19,363,173,600.00
10,626,994,562.00
55%


2.2 MIRADI YA WAHISANI:-
Makisioyamatumizikatikachanzohikikwamwaka2016/2017niTshs9,634,798,205.00Haditarehe28/02/2017fedhazimetumikaniTsh. 1,423,166,812.99sawanaasilimia15%yamakisio.Mchanganuo wake nikamaifuatavyo: ICAP+MDHTsh. 75,077,532, LCDGTsh. 63,323,876, JimboTsh. 827,206.63ULGSPTsh. 3,700,000 NRWSSPTsh. 19,000,700Road fund Tsh. 588,567,118.08, TASAF Tsh. 608,985,839.56na Basket Fund Tsh. 62,774,340.35





Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU March 22, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BUKOBA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA February 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI ASISITIZA UTUNZWAJI WA VIFAA VYA UANDIKISHAJI.

    April 29, 2025
  • MRADI WA UJENZI WA JENGO LA UPASUAJI WALETA FARAJA KWA KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA MANISPAA YA BUKOBA

    April 16, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA BUKOBA AONGOZA KIKAO KUHUSU UTOAJI WA DOZI YA PILI YA CHANJO YA POLIO

    April 15, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, AFYA NA ELIMU YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA BUKOBA

    April 14, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akitoa maelezo juu ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa