• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

Ufugaji Nyuki

1.0 UTANGULIZI:
Ufugaji wa nyuki unafanyika kwa kuzingatia Sera ya Taifa ya Ufugaji Nyuki ya Machi, 1998, Sheria ya Ufugaji Nyuki Na. 15 ya mwaka 2002 na Kanuni za Ufugaji Nyuki, 2005. Sera ya Taifa ya Ufugaji Nyuki ya Machi, 1998 imelenga mambo makuu matatu ambayo ni:- (i) kukuza uchumi wa taifa (ii) kuhifadhi mazingira (iii) manufaa ya kijamii.

2.0 FAIDA ZA UFUGAJI NYUKI

  1. Nyuki hawaitaji uangalizi wa kila siku, ufugaji nyuki hauhitaji mtaji mkubwa na mapato    yatokanayo na shughuli hii hupatikana katika muda mfupi;
  2. Nyuki hukusanya chakula chao kwenye maua ya mimea ya asili  na iliyopandwa;
  3. Ufugaji nyuki hauhitaji ardhi yenye rutuba, mizinga ya nyuki inaweza kutundikwa kwenye eneo lisilofaa kwa kilimo kwani nyuki wanaweza kuruka umbali wa maili mbili kutafuta chakula;
  4. Ufugaji nyuki unaweza kufanywa na wanaume na wanawake wa rika zote;
  5. Ufugaji nyuki ni fursa kwa kujianzishia shughuli ya kujiajiri mwenyewe, huchangia katika usalama wa akiba ya chakula katika kaya kwa kuzalisha na kuuza mazao ya nyuki (asali na nta). Asali ni chakula bora chenye virutubisho kama wanga, protini, vitamini na madini; nta ni zao la biashara;
  6. Ufugaji nyuki uongeza wingi na ubora wa matunda na mbegu za mimea ya kupandwa mashambani na misitu ya asili kutokana na uchavushaji; ni muhimu katika kilimo endelevu, kuhifadhi  mazingira, kutunza ikolojia na kuboresha bioanuwai.

3.0 MAJUKUMU YA KITENGO CHA UFUGAJI NYUKI

  • Kuhakikisha wafugaji wa nyuki wanapata elimu juu ya ufugaji bora na teknolojia mpya za uzalishaji asali na nta.
  • Kuelimisha wafugaji juu ya uchakataji, ufungashaji na biashara ya mazao ya nyuki.
  • Kusimamia Sera, Sheria na Kanuni za ufugaji nyuki.
  • Kukusanya takwimu za uzalishaji wa mazao ya nyuki na kuandaa taarifa za utekelezaji.

3.1  Elimu inayotolewa
Elimu inayotolewa inahusu yafuatayo:-              
    (i) Nyuki na tabia zake
    (ii) Matumizi ya zana za ufugaji nyuki
    (iii) Uanzishaji na usimamizi wa manzuki
   (iv) Mizinga ya nyuki ya kisasa
   (v) Uambikaji,utundikaji na ukamataji wa makundi ya nyuki
   (vi) Uangalizi wa makundi
   (vii) Mazao ya nyuki
   (viii) Maadui wa nyuki na njia za kuwakabili
   (ix) Uchakataji na ufungashaji asali na nta
   (x) Sera, sheria na kanuni za ufugaji nyuki
   (xi) Elimu ya ujasiliamali

4.0 IDADI YA WAFUGAJI
Baadhi ya wananchi katika Kata 8 za ukanda wa kijani hujishughulisha na shughuli za  ufugaji nyuki. Vipo vikundi 10 vyenye wafugaji 135 wakiwemo ME 93 na KE 42 na wafugaji binafsi 16.

4.1 Vikundi vya wafugaji wa nyuki :

NA
JINA LA KIKUNDI
KATA
MTAA
1
UKU
Buhembe
Ntungamo
2
RUBISHO Group
Kagondo
Kagondokalugulu
3
Juhudi
Kahororo
Rwazi
4
Tusongembele
Kahororo
Bunukangoma
5
Jitihada
Nyanga
Ihyolo
6
Abagambakamo
Nyanga
Kyamyosi
7
Jitume
Kashai
Rwome
8
Vijana chapakazi
Kahororo
Kyaya
9
Tweyambe
Ijuganyondo
Ijuganyondo ‘A’
10
 Tweyememu
Kitendaguro
Bugambakamo


Kuunda kikundi:Unatakiwa kuzingatia yafuatayo:-
 (i)  Kikundi kiwe na katiba.
(ii)  Kikundi kisajiliwe kwa Mkurugenzi wa Manispaa (wasiliana na Afisa Mtendaji kuhusu taratibu za kusajili kikundi).
(iii) Wanakikundi wawe tayari kupewa mafunzo ya ufugaji bora wa nyuki na ujasiliamali.       Mafunzo yatatolewa kwa siku na muda             mtakaokubaliana na wataalam.
Ufugaji binafsi au kikundi kuanzishwa inabidi kuzingatia sana uwepo wa eneo la kufugia (Manzuki) .

5.0 MANZUKI
Eneo maalumu au shamba linalotumika kuhifadhi makundi ya nyuki yaliyopo ndani ya mizinga kwa malengo ya kuzalisha mazao ya nyuki.

Sifa za manzuki:
Eneo lifaalo kwa shughuli za ufugaji nyuki ni lazima liwe na sifa zifuatazo:

  1. Miti, uoto wowote wa asili na mimea mbalimbali / Ufahamu juu ya miti ya nyuki (yaani miti ambayo nyuki hupata chakula) ni jambo la muhimu sana. Eneo liwe na mimea  inayotoa chakula mwaka mzima au kipindi fulani cha mwaka. Si lazima liwe shamba kubwa; bali hata eneo dogo linalozungukwa na miti itoayo chakula. Umbali wa miti na shamba usizidi km 2. Eneo hili linaweza kuongezewa chakula cha  nyuki kwa kupanda miti zaidi inayotoa maua au hata mazao ya kilimo yanayotoa maua.
  2. Chanzo cha maji ni vizuri kikawa cha kudumu, lakini kama cha kudumu hakipo basi maji yanaweza kupelekwa kwenye manzuki wakati wa ukame. Nyuki huyatumia maji kupoza joto ndani ya mzinga, kulainisha chakula na kulekebisha utamu wa asali ambayo hulishwa majana.
  3. Eneo la manzuki ni lazima liwe salama, mizinga, mazao yake, mifugo, binadamu, na mahali ambapo maadui wa nyuki hawezi kufikia makundi yako na kuyaharibu lakini pia ni vyema kuhakikisha kwamba maadui wa nyuki wanadhibitiwa. Usalama wa wakazi na wadau wengine pia lazima utiliwe maanani, Manzuki inatakiwa iwe mbali na maeneo wanayotumia watu kama masoko, mashule, zahanati, hospitali, barabara kuu na visima vya maji.
  4. Makundi ya nyuki yanahitaji kivuli cha kadri na kinga ya upepo ili hali ya kupunguza joto ndani ya mzinga.
    V.Eneo la manzuki ni vyema liwe linafikika kwa urahisi wakati wote ili kurahisisha uhudumiaji wa makundi ya nyuki pamoja na kufikisha mazao yake sokoni.


5.1 ENEO LA UFUGAJI WA  NYUKI KATIKA MANISPAA YA BUKOBA:

  1. Maeneo yanayotumika kufugia nyuki ni pamoja na misitu midogo ya miti ya asili na ya kupanda na maeneo ya Nyuki- kilimo mseto ‘Api-Agro-Forestry’ ambapo nyuki wanafugwa kwenye mashamba ya kilimo mchanganyiko na miti iliyopandwa, nyuki hukusanya chavua na mbochi kutoka kwenye maua ya mazao na miti na hatimaye kuchavulisha mimea ya mazao.
  2. Vipo vyanzo vya maji na misitu ndogo vinavyoweza kuhifadhiwa na ufugaji wa nyuki
  3. Kutumia vibanda vya kufugia nyuki (Bee cages)
    6.0 IDADI YA MIZINGA YA NYUKI
Na
Vikundi/ Wafugaji binafsi
Idadi ya mizinga
Kisasa
Asili
Jumla
1
Vikundi
71
-
71
2
Wafugaji binafsi
32
44
76

Jumla
103
44
147


7 .0 UZALISHAJI WA MAZAO YA NYUKI KWA MWAKA
Mavuno ya asali na nta
Mavuno ya asali ni kilo 750 na nta kilo 34 kwa mwaka 2016/17.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU March 22, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BUKOBA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA February 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI ASISITIZA UTUNZWAJI WA VIFAA VYA UANDIKISHAJI.

    April 29, 2025
  • MRADI WA UJENZI WA JENGO LA UPASUAJI WALETA FARAJA KWA KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA MANISPAA YA BUKOBA

    April 16, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA BUKOBA AONGOZA KIKAO KUHUSU UTOAJI WA DOZI YA PILI YA CHANJO YA POLIO

    April 15, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, AFYA NA ELIMU YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA BUKOBA

    April 14, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akitoa maelezo juu ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa