• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

Elimu Sekondari

UTANGULIZI:

Idara ya Elimu sekondari katika Halmshauri ya Manispaa ya Bukoba ina jumla ya Shule za Sekondari thelathini na moja (31) zilizo katika kata kumi na nne (14) za manispaa ya Bukoba.

Katika shule hizo, 19 ni shule za serikali wakati shule 12 ni shule za Binafsi. Licha ya tofauti za umiliki, shule zote hizi zinatekeleza sera moja ya Elimu ili kuwa na jamii yenye uelewa mmoja katika Taifa moja.Aidha, Halmashauri ya Manispaa imeendelea kufanya vizuri katika matokeo ya mitihani ya kitaifa. Mfano kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha Nne mwaka 2015 ilishika nafasi ya tatu kitaifa na kwa mwaka 2016 mtihani wa Kidato cha pili na cha Nne Halmashauri hii imeshika nafasi ya kwanza kitaifa.Hivyo, mwamko wa Taaluma katika Manispaa yetu ni mzuri unaoifanya izidi kuwa katika nafasi za juu kiufaulu. Jedwali hapo chini linaonyesha shule zilizopo katika Manispaa na Bukoba, Kata na Mtaa.

   ORODHA YA SHULE ZA SEKONDARI ZA SERIKALI MANISPAA BUKOBA





S/NA
JINA LA SHULE
KATA
MTAA
1
BAKOBA
BAKOBA
ANYAMA
2
BILELE
KASHAI
NATIONAL HOUSING
3
BUHEMBE
BUHEMBE
BULIBATA
4
BUKOBA
MIEMBENI
JAMUHURI
5
HAMUGEMBE
HAMUGEMBE
KASHABO
6
IHUNGO
NSHAMBYA
BUSHAGA
7
IJUGANYONDO
IJUGANYONDO
IJUGANYONDO
8
KAGEMU
KITENDAGURO
KAGEMU
9
KAHORORO
KASHAI
RWOME
10
KASHAI
KASHAI
NATIONAL HOUSING
11
KIBETA
KIBETA
MAGOTI
12
MUGEZA
KAHORORO
BUNUKANGOMA
13
NSHAMBYA
NSHAMBYA
NSHAMBYA
14
NYANGA
NYANGA
KYAKAILABWA
15
RUGAMBWA
KITENDAGURO
KIGAZE
16
RUMULI
MIEMBENI
PEPSI
17
RUTUNGA
KAHORORO
BUNUKANGOMA
18
RWAMISHENYE
RWAMISHENYE
KAMIZILENTE
19
RWAZI
KAGONDI
KAGONDO KALUGURU


   ORODHA YA SHULE ZA SEKONDARI ZA BINAFSI MANISPAA BUKOBA

S/NA
JINA LA SHULE
KATA
MTAA
1
JAFFERY
BILELE
KAWAWA
2
LAKE VIEW
MIEMBENI
PWANI
3
JOSIAH
IJUGANYONDO
IJUGANYONDO
4
KAJUMULO
KIBETA
OMUKIBETA
5
KAIZIREGE
IJUGANYONDO
MTALA
6
PEACE
KAGONDO
KITEYAGWA
7
STEVEN
BUHEMBE
BULIBATA
8
BUKOBA LUTHERAN
BUHEMBE
BULIBATA
9
NYANSHENYE
MIEMBENI
KYAYA
10
QUDUS
KAHORORO
RWAZI
11
HARVEST MISSION
KIBETA
OMUKIBETA
12
KOLYPING
NSHAMBYA


inasimamia na kutekeleza sera ya Elimu kama inavyoainishwa kwenye Mtaala wa Elimu .Katika kusimamia sera ya Elimu, idara inahakikisha inaboresha utolewaji wa elimu katika shule zote za serikali na zisizo za serikali ili kuwa na taswira nzuri inayoionyesha Halmashauri ya Manispaa inavyofanya vizuri katika swala zima la Elimu.

SHUGHULI ZINAZOFANYWA NA IDARA YA ELIMU SEKONDARI

  • Kusimamia shughuli za kujifunza na kujifunzia kwa kufanya ufatialiaji wa karibu mashuleni ili kuhakikisha lengo linafikiwa.
  • Kuzipongeza shule zinazofanya vizuri kwa kuzipa motisha chanya shule pamoja na walimu wanafaulisha vizuri katika mitihani ya Taifa ili kuongeza morali kufanya kazi.
  • Kuzipa motisha hasi shule zinazofanya vibaya kama vile kinyago ikiwa ni alama ya ufaulu mbovu ili ziweze kujituma na kufanya vizuri.
  • Kuwapatia walimu stahiki zao kwa wakati pindi zinapopatikana kutoka kwa mwajiri ili kuondoa malalamiko miongoni mwa walimu na mwajiri wao pamoja na kuwajengea imani kwa mwajiri.
  • Kusimamia uboreshwaji wa miundombinu mashuleni ili kuweka mazingira mazuri ya kujifunzia na kufundishia.
  • Kuhamasisha jamii kuchangia maendeleo ya shule hususani katika ujenzi wa Miundombinu ya shule ili kuwa na mazingira mazuri ya kujifunzia na kufundishia.
  • Kuweka ushawishi katika Halmashauri ili kuona umhimu wa kuboresha miundombinu ya shule na hivyo kuwekewa kipaumbele katika miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ya Manispaa.


   UTARATIBU WA UHAMISHO KWA MWANAFUNZI KUTOKA SHULE MOJA KWENDA NYINGINE;
Uhamisho wa mwanafunzi wa kuhama kutoka shule moja kwenda nyingine upo katika makundi mawili, kuna uhamisho wa wa ndani na uhamisho wa nje.

  1. Uhamisho wa ndani; huu ni uhamisho ambao mwanafunzi anahama kutoka shule moja kwenda shule nyingine lakini ndani ya Halmashauri. Katika uhamisho huu, mwanafunzi au mzazi anatakiwa kuandika barua kwa Mkurugenzi wa Halmashauri (Manispaa), barua hiyo itapitia shule aendayo mwanafunzi kasha kwa mkuu wa shule anakotoka.Baada ya utaratibu huo kukamilika mzazi/mlezi/mwanafunzi atapatiwa kibali cha kuruhusiwa kuhamia shule aliyoomba kuhamia.


  1. Uhamisho wa nje; huu ni uhamisho wa mwanafunzi kutoka nje ya Halmshauri/wilaya au nje ya Mkoa anakosomea mwanafunzi. Uhamisho huu anayetoa kibali cha kuhama ni Katibu Tawala Mkoa (ofisi ya Afisaelimu Mkoa). Katika uhamisho huu, Mzazi anamwandikia barua Katibu Tawala Mkoa (ofisi ya Elimu Mkoa), inapitia kwa Mkurugenzi (Afisaelimu) anakotoka,itapitia kwa Aifaelimu anakokwenda, itapitia kwa Mkuu wa shule anakokwenda kasha kwa Mkuu wa shule anakotoka. Baada ya kukamilisha taratibu husika , Mzazi/Mlezi/Mwanafunzi ataidhinishwa kuhama na Ngazi ya mkoa baada ya taratibu zote hizo kukamilika.
    NB/ Katika kupitisha fomu za uhamisho kwa aina zote hizo za uhamisho  (ndani nan je) mhusika anatakiwa aanzie ngazi ya chini kuelekea ngazi ya juu kwakuwa ngazi ya juu ndiyo inayoidhinisha mwisho. Hivo, mwombaji anatakiwa kuzingatia taratibu zilizowekwa.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU March 22, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BUKOBA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA February 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI ASISITIZA UTUNZWAJI WA VIFAA VYA UANDIKISHAJI.

    April 29, 2025
  • MRADI WA UJENZI WA JENGO LA UPASUAJI WALETA FARAJA KWA KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA MANISPAA YA BUKOBA

    April 16, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA BUKOBA AONGOZA KIKAO KUHUSU UTOAJI WA DOZI YA PILI YA CHANJO YA POLIO

    April 15, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, AFYA NA ELIMU YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA BUKOBA

    April 14, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akitoa maelezo juu ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa