• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika

IDARA YA KILIMO, UMWAGILIAJI NA USHIRIKA

(A) SEKTA  YA KILIMO

Utangulizi.

Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba ina jumla ya eneo lenye hekta 8,000 ambapo eneo linalofaa kwa kilimo ni hekta 4,200 na hekta 3,200 ndizo zinatumika kwa kilimo cha mazao ya chakula, biashara, mboga na matunda.Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba ina jumla ya eneo lenye hekta 8,000 ambapo eneo linalofaa kwa kilimo ni hekta 4,200 na hekta 3,200 ndizo zinatumika kwa kilimo cha mazao ya chakula, biashara, mboga na matunda.

   

Na
Maelezo
Takwimu
1
Eneo la Halmashauri (hekta)
8,000
2
Eneo linalofaa kwa Kilimo (hekta)
4,200
3
Eneo lililolimwa (Hekta)
3,200
4
% ya  eneo linalo limwa (hekta)
76%
5
Eneo linalolimwa kwa jembe la mkono (hekta)
3,200
6.
Idadi ya Kaya zinazotegemea Kilimo
9,470


Lengo la sekta ya kilimo

Lengo la sekta ya kilimMwelekeo wa Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika Manispaa ya Bukoba ni “Kuwatoa wakulima katika uzalishaji wa kujikimu waweze  kuzalisha kwa tija, kulima Kibiashara na kuwawezesha kukuza mitaji kwa kutumia mbinu endelevu ili kuwa  na wakazi wanaojitosheleza kwa chakula na wenye kipato  bora ifikapo 2025’’.

Hali ya Hewa.

Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba hupokea mvua kwa misimu miwili, mvua za Vuli na mvua za Masika. Mvua za Vuli huanza mwezi wa Septemba mpaka mwishoni mwa mwezi Disemba kila mwaka. Kwa kawaida mvua hizi huwa na wastani wa milimita 2000  kwa mwaka.  Joto ni 22 OC  mpaka 27oc   kwa mwezi Oktoba mpaka machi, lakini kwa kipindi fulani joto hupanda mpaka 35oc  na wakati mwingine hushuka mpaka 20oc kwa mwezi wa Juni mpaka Septemba.


Hali hii ya hewa huufanya mji uwe kijani kibichi kwa wakati wote. Pamoja na hayo, mazao ya aina mbalimbali yanaweza   kustawi katika hali ya hewa ya namna hii ikiwemo mazao ya biashara kama vile Vanilla na Kahawa, matunda kama parachichi,  embe, papai n.k., mazao ya Bustani kama cabbage, mchicha, pilipili hoho n.k., mazao ya chakula kama vile mahindi, maharage, mihogo, viazi vitamu, magimbi n.k.


Udongo. 

Shughuli za Seksheni ya Kilimo

  1. Kuhamasisha na kusimamia utekelezaji wa malengo ya uzalishaji wa mazao ya chakula, biashara na bustani (Mboga na Matunda)
  2. Kuhakikisha wakulima wanapata mafunzo juu ya uzalishaji bora na teknolojia mpya za uzalishaji
  3. Kukusanya takwimu za uzalishaji wa mazao, hali ya hewa, bei za mazao sokoni  na kuzifikisha kwa wadau
  4. Kuelimisha wakulima juu ya matumizi bora ya ardhi katika kilimo
  5. Kuelimisha wakulima juu ya matumizi sahihi ya zana na pembejeo za Kilimo
  6. Kuelimisha wakulima juu ya njia sahihi za udhibiti  wa magonjwa ya mazao na wanyama waharibifu.
  7. Kusimamia na kuendeleza mpango wa kuendeleza sekta ya kilimo Wilayani (DADP’s).
  8. Kuelimisha wakulima juu ya utayarishaji, usindikaji na hifadhi ya mazao  baada ya mavuno.
  9. Kuhamasisha jamii kuboresha na kuongeza masoko ya mazao.
  10. Kuhamasisha na kushirikiana na wadau katika kuandaa maonesho ya sherehe za wakulima Nane Nane.



  (B) SEKTA YA USHIRIKA

Lengo la sekta ya ushirika

Kuwa na vyama vya ushirika na SACCOS imara ili kukuza kipato kwa jamii

Shughuli za Seksheni ya Ushirika

  1. Kuhamasisha uundaji wa vyama vya Ushirika na SACCOS  
  2. Kusimamia uandikishaji wa SACCOS na Vyama vya Ushirika
  3. Kutoa elimu ya uendeshaji na usimamizi wa vyama vya Ushirika na SACCOS
  4. Kusimamia na kufanya ukaguzi wa vyama vya Ushirika na SACCOS
  5. Kukusanya takwimu za uzalishaji na kuandaa taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Ushirika

Idadi ya vyama vya Ushirika na SACCOS 

Idadi ya Chama kikuu cha ushirika (KCU 1990(T) LTD

1

Idadi ya vyama vya ushirika vya msingi (AMKOS) (Kitendaguro, Buhembena KaishamoI) vinavyojishughulisha na ununuzi wa kahawa

3

Idadi ya SACCOS na vyama vya aina nyingine

70

Idadi ya wanachama wa SACCOS (wanaume 1,755 na wanawake 2,344)

4099


Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU March 22, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BUKOBA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA February 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI ASISITIZA UTUNZWAJI WA VIFAA VYA UANDIKISHAJI.

    April 29, 2025
  • MRADI WA UJENZI WA JENGO LA UPASUAJI WALETA FARAJA KWA KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA MANISPAA YA BUKOBA

    April 16, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA BUKOBA AONGOZA KIKAO KUHUSU UTOAJI WA DOZI YA PILI YA CHANJO YA POLIO

    April 15, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, AFYA NA ELIMU YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA BUKOBA

    April 14, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akitoa maelezo juu ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa