• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

Maji

IDARA YA MAJI

HALI YA UPATIKANAJI WA MAJI HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA.
Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba ina Kata 14 na Mitaa 66 yenye wakazi wapatao 153,047, wanaume 74,294, wanawake 78,755 na kati ya hao 129,532 wanapata maji safi na salama sawa na asilimia 84.6

Utekelezaji wa ujenzi wa miradi ya maji ya vijiji 10
Katika kutekeleza program ya maji vijijini ya miradi kumi (10) ilisanifiwa na kuandaliwa kutoa huduma ya maji katika mitaa kumi na tano (15) ifuatayo:- Ijuganyondo A  (Kata Ijuganyondo),  Kagondokaluguru, Kyamzinga (Kata Kagondo), Kyamyosi, Ihyoro (Kata Nyanga), Bulibata (Kata Buhembe), Bushaga, Bunkango (Kata Nshambya), Rwazi (Kata Kahororo), Kyamuhumura, Busimbe A, Kanazi, Kalelabana (Kata Kitendaguro) na Omukituli, Nyamulugo (Kata Kibeta). Miradimiwili (2) ya Mitaasita (6) katika Kata za Kibeta na Kitendaguro haikutekelezwa kwa sababu hadi kipindi miradi hiyo inaanza kutekelezwa Mitaa husika ili kuwaimeisha pata huduma ya maji kutoka Mamlaka ya Maji na usafi wa mazingira (BUWASA).
Aidhawakatiwautekelezajiwamiradiminane (8) Mitaa ifuatayo iliongezwa:-Ijuganyondo B (Kata Ijuganyondo) naNyarubanjanaRubumba (Kata Nyanga).
Pamoja na hayo, hadi sasa miradi mitano (5) ya Ijuganyondo, Kagondo, Kyamyosi, Bulibata, Bunkango na Ihyoro imekamilika kwa asilimia 100 na inatoa huduma ya maji safi na salama kwa walengwa. Mradi mmoja (1) wa Bushaga umefikia asilimia 90 na mkandarasi yupo site kwa utekelezaji wa hatua za mwisho.


Changamoto zilizopo

  • Uvamizi na uchafuaji wa vyanzo vya maji mfano Kata ya Kahororo mtaa wa Kyaya kwenye chanzo cha maji cha Kyaya, Kata ya Kagondo mtaa wa Kyamuzinga kwenye chanzo cha maji cha Kyolelona Kata ya Nshambya mtaa wa Bunkango kwenye chanzo cha maji cha Kigoye.
  • Watumiaji maji kutokuwa tayari kuchangia miradi ya maji kwani inapotokea tatizo kwenye mradi inakuwa vigumu Jumuiya kurudisha huduma kwa wakati.
    Mikakati wa kukabiliana na changamoto hizo:-
  • Kupima na kuweka mipaka na kuhamasisha jamii juu ya umuhimu wa kulinda na kutunza vyanzo vya maji kwa kuzingatia sheria za utunzaji wa rasilimali za maji.
  • Jumuiya zinapewa mafunzo ya kubuni vyanzo vya mapato ili kuendeleza mradi hata utakapokuwa na tatizo

     

TAARIFA YA MIRADI YA VIJIJI KUMI (10)

 
NA
 
KATA

MWAKA WA UTEKELEZAJI
 
JINA LA  MRADI
 
 
UTEKELEZAJI

 



GHARAMA ZA MKATABA/
MRADI
POKELEWA
LIPWA
BAKI
1

Nshambya


2013/2014 – 2015/2016
Bushaga
Mradi umetekelezwa asilimia 90%

378,290,088

378,290,088

268,537,776.00

109,752,312


2012/2013 – 2013/2014
Bunkango
Mradi umekamilika na kukabidhiwa kwa Jumuiya ya watumiaji maji Bunkango Mwezi Februari 2015

345,600,280.00

345,600,280.00

345,600,280.00

2

Nyanga


2013/2014 – 2014/2015
Ihyoro
Mradi upo kwenye majaribio utakabidhiwa kwa Jumuiya ya watumiaji maji Ihyoro baada ya kukamilika

398,396,456

398,396,456

398,396,456



2013/2014 – 2014/2015
Kyamyosi
Mradi umekamilika na kukabidhiwa kwa Jumuiya ya watumiaji maji Kyamyosi March 2015

179,166,292

179,166,292

179,166,292

-

3

Buhembe


2013/2014 – 2014/2015
Bulibata
Mradi umekamilika na kukabidhiwa kwa Jumuiya ya watumiaji maj Bulibata Mwezi Mei 2015

279,869,070.00

279,869,070.00
279,869,070.00

-

4

Kahororo


2013/2014 – 2014/2015
Rwazi
Mradi umekamilika na kukabidhiwa kwa Jumuiya ya watumiaji maji Bulibata Mwezi Mei 2015

369,126,123.12

369,126,123.12

369,126,123.12

-

5

Ijuganyondo


2011/2012 – 2011/2012
Ijuganyondo
Mradi umekamilika naunafanya kazi chini ya usimamiziwa BUWASA na ndiyo waliyekabidhiwa mradi huo

107,184,775

       107,184,775
       107,184,775

 

 
            -
6

Kagondo


2011/2012 – 2012/2013
Kagondo
Mradi umekamilika na unatoa huduma kwa mtaa wa Kagondo kaluguru na Kyamuzinga

290,354,203.93

290,354,203.93

290,354,203.93

-


.


Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU March 22, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BUKOBA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA February 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI ASISITIZA UTUNZWAJI WA VIFAA VYA UANDIKISHAJI.

    April 29, 2025
  • MRADI WA UJENZI WA JENGO LA UPASUAJI WALETA FARAJA KWA KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA MANISPAA YA BUKOBA

    April 16, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA BUKOBA AONGOZA KIKAO KUHUSU UTOAJI WA DOZI YA PILI YA CHANJO YA POLIO

    April 15, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, AFYA NA ELIMU YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA BUKOBA

    April 14, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akitoa maelezo juu ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa