• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

BARAZA LA MADIWANI LARIDHIA BAJETI YA SH. BILION 38

Posted on: February 14th, 2025

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba limeridhia kupitisha rasimu ya bajeti ya Shilingi 38,923,783,574.60 kwa mwaka wa fedha 2025/2026 ambayo ni zaidi ya shilingi Milioni 300 ukilinganisha na bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025. Aidha Baraza lilijadili mapitio ya utekelezaji wa bajeti inayoendelea ya shilingi Bilion 38.5

Akisoma rasimu hiyo kwa niaba ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba, Mkuu wa Idara ya Mipango na Uratibu Ndg.Melkioni Komba alisema maandalizi ya bajeti hiyo ya 2025/2026 yalizingatia nyaraka na miongozo yote pamoja na kuweka vipaumbale vya Halmashauri.

Alisema, kwa upande wa mapato ya ndani, Halmashauri inatarajia kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 4.36 wakati ruzuku kutoka Serikali kuu ikitarajiwa kuwa shilingi bilion 29.66 kadhalika ruzuku ya Wahisani na michango ya Wananchi ikitarajiwa zaidi ya shilingi bilioni 4.89.

Akizungumza katika Mkutano huo, Mkuu wa Wilaya ya Bukoba,  Mhe. Erasto Sima ameipongeza Halmashauri kwa kuandaa bajeti ambayo imegusa nyanja zote za maendeleo na kutoa wito kuendelea kutekeleza miradi ya maendeleo kwa kasi ili kutoa huduma iliyokusudiwa kwa Wananchi  huku akiitaka Halmashauri kuendelea kubuni vyanzo vipya vya mapato.

“Kwa umbile la bajeti hii niliyoiona, mmegusa kila sehemu inayotakiwa kufikiwa na bajeti na nitoe rai kwa Watendaji kuendelea kuimarisha ukusanyaji wa mapato kwenye vyanzo vyote tulivyonavyo, lakini pia tuna kila sababu ya kuendelea kubuni vyanzo vingine vipya vya kuendelea kuongeza mapato kwaajili ya kutekeleza miradi yote tuliyopanga kuitekeleza na hata ile miradi viporo.” Alisema Mhe. Sima.

Vilevile, Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba Mhe. Godson Gypson amesema, kama Manispaa, hatuwezi kutekeleza miradi ya maendeleo kama hatutaweza kukusanya mapato. Ni jukumu letu sote kuungana kwa pamoja na mshikamano ili kufikia malengo ya bajeti hii kwa ajili ya kuweza kuwaletea Wananchi maendeleo.

Kadhalika, Madiwani wote wameonyesha kuridhia mpango huo wa bajeti ya mwaka wa fedha 2025/2026 upite na kuwa bajeti ya Manispaa wakiamini bajeti hiyo imejikita kwenye kila idara.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU March 22, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BUKOBA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA February 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI ASISITIZA UTUNZWAJI WA VIFAA VYA UANDIKISHAJI.

    April 29, 2025
  • MRADI WA UJENZI WA JENGO LA UPASUAJI WALETA FARAJA KWA KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA MANISPAA YA BUKOBA

    April 16, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA BUKOBA AONGOZA KIKAO KUHUSU UTOAJI WA DOZI YA PILI YA CHANJO YA POLIO

    April 15, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, AFYA NA ELIMU YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA BUKOBA

    April 14, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akitoa maelezo juu ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa