• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

DC. SIMA AONGOZA KIKAO CHA MAANDALIZI YA MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025 BUKOBA

Posted on: July 11th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Bukoba, MhMhe Erasto ma, ameongoza kikao cha maandalizi ya mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2025 katika Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba, ambapo ametoa rai kwa kamati zote zinazohusika kuendelea na maandalizi kwa bidii ili kuhakikisha mapokezi hayo yanakuwa ya mafanikio makubwa.

Akizungumza katika kikao hicho kilichohusisha wadau mbalimbali wakiwemo viongozi wa Serikali, vyombo vya ulinzi na usalama, wawakilishi wa taasisi binafsi, mashirika ya kijamii pamoja na wananchi, Mhe. Sima alisisitiza umuhimu wa mshikamano na ushirikiano katika kuhakikisha mapokezi ya Mwenge wa Uhuru yanakwenda sambamba na lengo la kutoa hamasa kwa wananchi.

“Naomba kila kamati ichukue jukumu lake kwa uzito unaostahili. Mwenge wa Uhuru siyo tukio la kawaida, ni alama ya mshikamano, maendeleo na uzalendo wetu. Tujitahidi kuhakikisha kuwa kila jambo lipo tayari kwa wakati,” alisisitiza Mhe. Sima.

Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kupokelewa rasmi katika Manispaa ya Bukoba tarehe 9 Septemba 2025, ambapo utahusisha shughuli mbalimbali ikiwemo uzinduzi wa miradi ya maendeleo, uwekaji wa mawe ya msingi pamoja na kutembelea na kujionea shughuli zinazofanywa na makundi mbalimbali ya jamii.

Kauli mbiu ya Mwenge wa Uhuru kwa mwaka huu ni “Jitokeze Kushiriki Uchaguzi Mkuu Mwaka 2025 kwa Amani na Utulivu.” Kauli mbiu hii inalenga kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika mchakato wa kidemokrasia kwa njia ya amani na mshikamano.

Manispaa ya Bukoba imeweka mikakati madhubuti kuhakikisha kuwa mapokezi ya Mwenge wa Uhuru yanakwenda sambamba na kauli mbiu hiyo, kwa kuhakikisha kuwa kila mwananchi anapata ujumbe na kushiriki ipasavyo katika shughuli zitakazofanyika.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU March 22, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BUKOBA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA February 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WAGANGA WAKUU WAMEMTUNUKU RAIS TUZO, MHE. MPANGO AWAPONGEZA, ATOA MAELEKEZO MAHSUSI

    July 12, 2025
  • DC. SIMA AONGOZA KIKAO CHA MAANDALIZI YA MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025 BUKOBA

    July 11, 2025
  • MANISPAA YA BUKOBA YAZINDUA CHANJO YA "TATU KWA MOJA" KWA KUKU WAKIENYEJI

    July 02, 2025
  • ZIARA YA WALIMU NA MAAFISA KUTOKA ZANZIBAR KATIKA MANISPAA YA BUKOBA

    June 30, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akitoa maelezo juu ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa