• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

KAMATI YA LISHE BUKOBA MANISPAA YAWEKA MIKAKATI YA KUHANIKIZA CHAKULA MASHULENI

Posted on: January 16th, 2026

Kamati ya Lishe ngazi ya Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba imeendelea kuweka mikakati mbalimbali ya kuwahamasisha wazazi na walezi kuchangia chakula mashuleni, kwa lengo la kuwawezesha wanafunzi kupata chakula wakiwa shuleni na hivyo kuboresha mahudhurio na ufaulu wao.

Kikao hicho kimefanyika tarehe 16 Januari 2026, katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba, kikihusisha wadau mbalimbali wa lishe pamoja na viongozi wa Halmashauri, huku wakijikita kujadili hali ya lishe kwa wanafunzi na changamoto zinazokwamisha utekelezaji wa mpango wa chakula mashuleni.

Akizungumza katika kikao hicho, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba, ndugu Jacob Nkwera, amesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya Halmashauri, shule na wazazi katika kuhakikisha kila mtoto anapata chakula shuleni. Amesema lishe bora kwa watoto ni msingi wa maendeleo ya elimu na afya kwa ujumla.

Kwa upande wao, wakuu wa Idara na Vitengo pamoja na waratibu wa lishe wamewasilisha mikakati mbalimbali ikiwemo kuimarisha uhamasishaji kwa jamii, kushirikisha viongozi wa Kata na mitaa, pamoja na kuandaa miongozo itakayowasaidia wazazi kushiriki kikamilifu katika mpango wa chakula mashuleni.

Wadau wa lishe waliohudhuria kikao hicho wamepongeza juhudi zinazofanywa na Halmashauri na kuahidi kuendelea kushirikiana katika utekelezaji wa mikakati iliyowekwa. Wamesema juhudi za pamoja zitasaidia kupunguza changamoto za lishe duni na kuongeza ustawi wa watoto waliopo mashuleni.

Kwa ujumla, kikao hicho kimehitimishwa kwa azimio la kuendelea kusimamia kwa karibu utekelezaji wa mikakati hiyo, ili kuhakikisha wanafunzi wa Manispaa ya Bukoba wanapata lishe bora wakiwa shuleni na kutimiza malengo ya elimu bora kwa wote.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA BA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU December 12, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU OKTOBA, 2025. October 20, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UCHAGUZI MKUU 2025 October 02, 2025
  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 15, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA LISHE BUKOBA MANISPAA YAWEKA MIKAKATI YA KUHANIKIZA CHAKULA MASHULENI

    January 16, 2026
  • "TUILINDE AMANI TULIYONAYO" MBUNGE WA JIMBO LA BUKOBA MJINI

    November 28, 2025
  • DC. SIMA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA BIASHARA

    November 28, 2025
  • PASS TRUST YAENDELEA NA JUKWAA LA BIASHARA BUKOBA, YAWEKA MKAZO KWA USHIRIKIANO NA TAASISI ZA FEDHA KUKUZA SEKTA YA KILIMO

    October 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akitoa maelezo juu ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa