• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

RC. KAGERA AWATAKA WAKANDARASI WA MIRADI YA TACTICS KUKAMILISHA KAZI KWA WAKATI NA UBORA

Posted on: July 23rd, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mheshimiwa Hajat Fatma Mwassa, amewataka wakandarasi watakaojenga miradi ya Uboreshaji wa Miundombinu ya Miji ya Tanzania (TACTICS) kuhakikisha wanatekeleza miradi hiyo kwa ubora unaotakiwa na kuikamilisha kwa wakati.

Akizungumza katika hafla ya kuwakabidhi rasmi wakandarasi maeneo ya ujenzi, iliyofanyika katika viwanja vya Soko Kuu mjini Bukoba, Mhe. Mwassa aliwahimiza wakandarasi kuwa na nidhamu ya kazi na kuhakikisha fedha za miradi zinatumika ipasavyo.

“Naomba nitoe wito kwa wakandarasi wetu kuwa hatutaki kuona ucheleweshaji. Sifa ya mkandarasi mzuri ni yule mwenye uwezo wa kifedha na anayetimiza wajibu kwa wakati. Wananchi, nawasihi tutoe ushirikiano wa kutosha na tuwe mabalozi wa miradi hii kwa kuilinda, maana ni yetu sote.” alisema Mhe. Mwassa.

Kwa upande wake, Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Mhe. Steven Byabato, alieleza furaha yake kuona kuwa ndoto ya utekelezaji wa miradi hiyo hatimaye ikianza kutimia akiwa bado mbunge.

“Tangu mwaka 2020 tumekuwa tukipambana na viongozi mbalimbali kuanzia ngazi ya Halmashauri kuhakikisha miradi hii inapatikana. Leo nashukuru kuona utekelezaji wake unaanza, nami nikiwa bado mbunge wa jimbo hili.” alisema Mhe. Byabato.

Naye Mratibu wa Miradi ya TACTICS, Injinia Emmanuel Yohana, alieleza kuwa miradi hiyo itakuwa kichocheo muhimu cha maendeleo ya mji wa Bukoba na kuleta tija kwa wananchi.

“Hii ni miradi ya kimkakati inayolenga kuboresha maisha ya wananchi kwa kuboresha miundombinu muhimu ya mji wetu.” alieleza.

Miradi hiyo inatarajiwa kuanza rasmi kutekelezwa Julai 15, 2025, na inahusisha ujenzi wa stendi ya mabasi Kyakailabwa, ujenzi wa soko kuu la Bukoba, ujenzi wa kingo za mto Kanoni, ujenzi wa barabara za mjini zenye urefu wa zaidi ya kilomita 10 pamoja na ufungaji wa taa za barabarani zaidi ya 400

Jumla ya gharama za utekelezaji wa miradi hiyo ni shilingi bilioni 40.2, na inatarajiwa kukamilika ndani ya kipindi cha miezi 15.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU March 22, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BUKOBA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA February 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • RC. KAGERA AWATAKA WAKANDARASI WA MIRADI YA TACTICS KUKAMILISHA KAZI KWA WAKATI NA UBORA

    July 23, 2025
  • WAGANGA WAKUU WAMEMTUNUKU RAIS TUZO, MHE. MPANGO AWAPONGEZA, ATOA MAELEKEZO MAHSUSI

    July 12, 2025
  • DC. SIMA AONGOZA KIKAO CHA MAANDALIZI YA MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025 BUKOBA

    July 11, 2025
  • MANISPAA YA BUKOBA YAZINDUA CHANJO YA "TATU KWA MOJA" KWA KUKU WAKIENYEJI

    July 02, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akitoa maelezo juu ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa