• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

WANAVIKUNDI WA FAO MANISPAA YA BUKOBA WAPIGWA MSASA

Posted on: May 4th, 2018

Jackson Mahongo ambaye ni mratibu mradi wa Shirika la Chakula na Kilimo Duniani-FAO ngazi ya Manispaa ya Bukoba, alifungua rasmi mafunzo juu ya matumizi bora ya pembejeo.

Miongoni mwa wawezeshaji alioambatana nao katika mafunzo hayo yanayoendelea kwa siku tatu (tarehe 03, 04 na 07 mei,2018) katika ofisi za kata saba za Manispaa ya Bukoba ni; Omary Mussa, Anelita Bukenya, Evodius Simon, Viviano Msigula, Venitha Charles, Novert Nyemenohi, Filbert Kimario, na Dedan Sombe ambao kitaaluma ni maafisa kilimo na mifugo.

Bw. Mahongo amesema kuwa wafadhili wameleta pembejeo ziko ofisini ambazo ni mbegu za mazao ya bustani, mbolea, dawa na vifaa vya ujenzi wa mabanda. “Tumeona kuwa ni vyema kabla ya kugawa hizi pembejeo kwa wakulima ni vema kupita kwa kila kikundi na kuwapa maelekezo ” alisema  Mahongo na amesisitiza kwamba baada ya mafunzo hayo pembejeo zitagaiwa kwa kila kikundi.


Miongoni mwa vikundi vinavyofadhiliwa na mradi wa FAO na kushiriki mafunzo hayo ni; Samuli group na Tuinuane group kutoka kata ya Bakoba, Tweyambe group, Faidika group na Mkombozi group kutoka kata ya Ijuganyondo, tegemeza group,shukuru group,na Tweyambe group kutoka kata ya Kibeta. Vikukundi vingine ni pamoja na; Twejune group kutoka kata ya Kahororo, Mapambano group kutoka kata ya Nyanga, Tutashinda group kutoka kata ya Kagondo na Tuinane group kutoka kata ya Kitendaguro.

Bw. Filbert Kimario ambaye kitaaluma ni maafisa kilimo, akiwa katika ofisi ya kata Kitendaguro na kikundi cha Tuinuane group amepitisha wanakikundi hao katika mada ya kanuni bora za kilimo. Ameshirikiana na wanakikundi kujadili kanuni hizo ambazo ni pamoja na; kuchagua eneo la rutuba/tifutifu, kutayarisha shamba kwa kufyeka, kupulizia dawa ya wadudu, kutumia mbolea ya asili/viwandani, kutayarisha mbolea bora mapema, kupanda kwa nafasi inayotakiwa na kupalilia kwa wakati. Kanuni nyingine bora za kilimo ni kidhibiti magonjwa, ndege na wadudu, kuvuna kwa wakati, kutunza kumbukumbu za uzalishaji na kuandaa vifaa vya kuifadhi mazao.


Kwa upande wa washiriki wa mafunzo hayo, wameisifia Serikali na Shirika la Chakula na Kilimo Duniani-FAO  kwa kuwakumbuka na kuwapatia pembejeo. Aidha, wamewashukuru maafisa kilimo na mifugo wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba kwa kuwapatia elimu ya kilimo cha mboga/bustani na ufugaji, huku wakimhakikishia Mratibu wa Mradi wa FAO ngazi ya Manispaa kuwa Serikali itegemee matokeo chanya hasa baada ya mafunzo hayo ya kujengewa uwezo.


 “Kwa kweli walivyotuelekeza kwenye mafunzo tutayafanyia kazi,” Alibainisha Adelina Simon ambaye ni mwanakikundi wa Tuinuane group kata Kitendaguro, katika siku ya pili ya mafunzo hayo yanayotarajiwa kuhitimishwa mnamo tarehe 07 Mei, 2018.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU March 22, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BUKOBA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA February 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI ASISITIZA UTUNZWAJI WA VIFAA VYA UANDIKISHAJI.

    April 29, 2025
  • MRADI WA UJENZI WA JENGO LA UPASUAJI WALETA FARAJA KWA KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA MANISPAA YA BUKOBA

    April 16, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA BUKOBA AONGOZA KIKAO KUHUSU UTOAJI WA DOZI YA PILI YA CHANJO YA POLIO

    April 15, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, AFYA NA ELIMU YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA BUKOBA

    April 14, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akitoa maelezo juu ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa