• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

WAZIRI NANAUKA AVUTIWA NA UBUNIFU WA VIJANA KONGANI YA BUKOBA MANISPAA

Posted on: January 25th, 2026

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Mhe. Joel Arthur Nanauka, leo tarehe 25 Januari 2026, ameendelea na ziara yake ya kikazi yenye lengo la kuwafikia vijana na kujionea kwa karibu miradi yao ya ubunifu na ujasiliamali, kwa kutembelea Kongani ya Vijana iliyopo Manispaa ya Bukoba.

Katika ziara hiyo, Mhe. Nanauka alipata fursa ya kujionea na kuvutiwa na miradi mbalimbali ya kiuchumi inayotekelezwa na vijana katika kongani hiyo, ikiwemo shughuli za ufundi seremala, karakana ya ukarabati wa magari, utengenezaji wa bidhaa za alumini, darasa la ususi wa nywele pamoja na miradi ya utengenezaji wa vifungashio.

Akizungumza baada ya kutembelea miradi hiyo, Mhe. Waziri alibainisha kuwa miradi yote ni matokeo ya ubunifu wa vijana wenyewe na imelenga kuwawezesha kujiajiri, kuongeza kipato na kuchangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya uchumi wa eneo husika. Alieleza kufurahishwa kwake na namna vijana hao walivyotumia fursa zilizopo kubuni na kuendesha miradi yenye tija.

Mhe. Nanauka aliwapongeza vijana hao kwa bidii, ubunifu na uthubutu wao, akisisitiza kuwa juhudi hizo zinaendana na dhamira ya Serikali ya kuwajengea vijana uwezo wa kiuchumi na kupunguza changamoto ya ajira.

Aidha, aliwahimiza vijana kuendelea kuchangamkia fursa mbalimbali zinazotolewa na Serikali, ikiwemo mafunzo ya ujasiliamali, upatikanaji wa mitaji kupitia mifumo ya Serikali pamoja na kushirikiana na taasisi husika ili kuimarisha na kupanua wigo wa miradi yao.

Kadhalika, Mhe. Waziri alisema amezipokea changamoto zote zilizowasilishwa na vijana hao na kuahidi kuzifikisha katika mamlaka husika kwa ajili ya kufanyiwa kazi, ili kuendelea kujenga mazingira wezeshi yatakayowawezesha vijana kufanya kazi kwa ufanisi na kuendeleza ubunifu wao.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA BA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU December 12, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU OKTOBA, 2025. October 20, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UCHAGUZI MKUU 2025 October 02, 2025
  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 15, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WAZIRI NANAUKA AVUTIWA NA UBUNIFU WA VIJANA KONGANI YA BUKOBA MANISPAA

    January 25, 2026
  • KAMATI YA LISHE BUKOBA MANISPAA YAWEKA MIKAKATI YA KUHANIKIZA CHAKULA MASHULENI

    January 16, 2026
  • "TUILINDE AMANI TULIYONAYO" MBUNGE WA JIMBO LA BUKOBA MJINI

    November 28, 2025
  • DC. SIMA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA BIASHARA

    November 28, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akitoa maelezo juu ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa