• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

YALIYOJIRI MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI KUPOKEA TAARIFA ZA KATA KWA KIPINDI CHA ROBO YA PILI 2024/2025

Posted on: January 27th, 2025

Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba imefanya Mkutano wa Baraza la Madiwani kwa ajili ya kujadili taarifa kutoka kwenye Kata kwa kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2024/2025. Machache katika mengi yaliyoibuka kwenye Mkutano huo nia kama ifuatavyo,

Hali isiyoridhisha ya ukusanyaji mapato iliyompelekea Mhe. Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba kutoa msisitizo na kuendelea kubuni njia mbalimbali za ukusanyaji wa mapato kwa ajili ya kuendelea kutekeleza miradi mbalimbali inayopaswa kutekelezwa.

Diwani wa Kata ya Bakoba, Mhe. Shaban Rashid wakati wa uwasilishaji wa taarifa ya Kata yake, pamoja na maombi yake yote, amesisitiza swala la ujenzi wa soko la dagaa ambalo ndilo soko kuu kwa wafanyabiashara wa dagaa kwenye Kata hiyo na Mji wa Bukoba kwa ujumla.

Aidha Baraza la Madiwani Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba limempomgeza Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan kwa kuteuliwa kuwa Mgombea wa Urais kwenye Uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba, 2025. Kadhalika madiwani hao wamemtakia heri Rais Samia kwa kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa.

Vilevile suala la kutengeneza miundombinu ya maeneo mbadala yatakayotumika na Wafanyabiashara kupisha ujenzi wa soko kuu Mjini Bukoba, yameripotiwa kukamilika kwa zaidi ya asilimia 98 wakati huohuo timu TACTIC wakiweka bayana kuanza kuwahamisha Wafanyabiashara hao mapema ifikapo mwezi Februari.

Aidha, Mkuu wa Wilaya ya Bukoba, Mhe. Erasto Sima amendelea kuwasisitiza Watendaji wa Kata kuendelea kuwafuatilia wazazi wa watoto wote wanaostahili kuripoti mashuleni na hawajafanya hivyo kuanzia wale wa darasa la awali, la kwanza pamoja na wale wanaojiunga na kidato cha kwanza akisisitiza kuwa hata kama watakosa mahitaji muhimu, ni vema wakaripoti na kuanza masomo wakati wazazi wakijiandaa kumalizia mahitaji ya wanafunzi hao.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU March 22, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BUKOBA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA February 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI ASISITIZA UTUNZWAJI WA VIFAA VYA UANDIKISHAJI.

    April 29, 2025
  • MRADI WA UJENZI WA JENGO LA UPASUAJI WALETA FARAJA KWA KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA MANISPAA YA BUKOBA

    April 16, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA BUKOBA AONGOZA KIKAO KUHUSU UTOAJI WA DOZI YA PILI YA CHANJO YA POLIO

    April 15, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, AFYA NA ELIMU YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA BUKOBA

    April 14, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akitoa maelezo juu ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa