• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

Miradi ya Maendeleo ya Kilimo ya Wilaya (DADPs)

Start Date: 2006-07-01
End Date: 2013-06-30

Miradi ya Maendeleo ya Kilimo ya Wilaya (DADPs).

DADPs ni utekelezaji wa Mipango ya ASDP ngazi ya wilaya. Mipango hii hujumuisha miradi ya sekta za kilimo, mifugo, uvuvi na ushirika.

Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba ilianza kutekeleza  awamu ya kwanza ya Mipango ya Maendeleo ya kilimo ya wilaya (DADPs) mwaka 2006/2007.  Awamu hii ya kwanza ya utekelezaji  ilimalizika mwezi Juni 2013. Tangu kumalizika Kwa awamu ya kwanza ya utekelezaji wa miradi hii, Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba imekuwa katika kipindi cha mpito ikisubiri utekelezaji wa awamu ya pili ya DADPs.

Katika kipindi hiki cha mpito, Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba imekuwa ikitumia fedha kutoka vyanzo vyake vya ndani pamoja na fedha za serikali kuu (CDG) kutekeleza mipango ya kilimo.
Pamoja na hayo, baadhi tu ya miradi iliyotekelezwa katika awamu ya kwanza ya DADPs  ni kama ifuatavyo:

  1. Ujenzi wa kituo cha  kupokelea samaki katika kisiwa cha Ntoro- Nyabasige
  2. Kuwezesha  ufugaji wa Ng’ombe wa  maziwa 33 katika  vikundi vilivyopo kwenye mitaa 9 ya Bushaga, Bugambakamoi, Rwanzi, Kabalekangaiza, Nyarubanja, Kyasha, Kyamuzinga, Bunukangoma na  Ijuganyondo B.
  3. Ununuzi wa vifaa vya kuhifadhia na kusindika maziwa kwa wasindikaji 25 kutoka katika vikundi 4.
  4. Kuwezesha ufugaji wa kuku katika vikundi 4 kutoka katika mitaa ya Magoti, Rubumba, Bushaga na Ntungamo.
  5. Kuwezesha ujenzi wa masoko 2, soko la Buhembe pamoja na soko la Kitendaguro
  6. Kuwezesha kilimo cha nanasi na maembe katika kikundi kilichopo mtaa wa Ihyolo.


   Mafanikio katika Miradi ya Kilimo ya Wilaya (DADPs).

Baadhi ya mafanikio yaliyopatikana katika kutekeleza awamu ya kwanza ya miradi ya DADPs ni kama ifuatavyo:

  1. Kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya mbolea ya samadi, uzalishaji wa mazao ya ndizi na mazao ya Bustani umeongezeka kwa 23%
  2. Kutokana na kuwezesha ufugaji wa ngombe wa maziwa, ng’ombe wa maziwa wameongezeka na maziwa yameongezeka kwa 16%
  3. Uwezeshwaji katika ufugaji wa kuku umeongeza uzalishaji wa kuku pamoja na uzalishaji wa mayai kwa 27%
  4. Lishe kwa wananchi imeboreshwa kutokana na kuongezeka kwa uzalishaji  wa maziwa, mayai, ndizi, n.k.
  5. Kipato kwa wakulima na wafugaji kimeimarika kutoka na kuongezeka kwa uzalishaji wa ndizi, mazao ya bustani, mayai, maziwa n.k.
  6. Elimu ya ufugaji wa kuku na ng’ombe wa maziwa  imeenea kwa wafugaji walio wengi.
  7. Elimu  juu ya matumizi sahihi  ya mbolea ya samadi  imeenea kwa wakulima wengi.
  8. Usindikaji wa mazao – vikundi vya usindikaji eg. BUWEA.



Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KAZI December 02, 2022
  • Kufanya Usafi Kila Siku ya Alhamisi Kila Wiki March 01, 2022
  • MRADI WA VIWANJA ELFU TANO March 01, 2022
  • MPANGO KABAMBE WA MANISPAA YA BUKOBA (BUKOBA MASTERPLAN) September 04, 2019
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MANISPAA YA BUKOBA YAJIZATITI KUKUSANYA NA KUONGEZA MAPATO.

    March 01, 2022
  • KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA YAFANYA ZIARA YA UGAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO ROBO YA TATU 2020/2021

    April 21, 2021
  • Mh. Meya atoa Kongole kwa Waheshimiwa Madiwani wa Manispaa ya Bukoba

    February 11, 2021
  • RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AWAASA WANAFUNZI WA BUKOBA SEKONDARI KUZINGATIA MASOMO

    January 19, 2021
  • Angalia zote

Video

Uzinduzi wa uwanja wa ndege mjini Bukoba November 6, 2017
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa