• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

MRADI WA MAENDELEO UTAKAOFADHILIWA NA SHIRIKA LA CHAKULA DUNIANI (FAO) 2017/2018 KATIKA SEKTA YA KILIMO NA MIFUGO

Start Date: 2017-09-13
End Date: 2019-06-30

Kutokana na tetemeko lililotokea mkoani Kagera pamoja na ukame na hali duni ya lishe katika mkoa wa Kagera,  Shirika la Chakula na Kilimo (FAO), pamoja na Wizara ya kilimo, Mifugo na Uvuvi wamesaini Mkataba wa Mradi wa kusaidia kurejesha hali za wananchi kufuatia ukame, lishe duni na Tetemeko la ardhi Mkoani Kagera. Mradi huo unatarajiwa kutekelezwa Katika Halmashauri za Manispaa ya Bukoba, Misenyi, Kyerwa, Muleba na Bukoba Vijijini. Mradi unatarajia Kunufaisha jumla ya vikundi vya wakulima na wafugaji kwenye Kaya zipatazo 5,000 kwa mkoa mzima.

 Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba tayari imesaini makubaliano ya kutekeleza mradi huu na unatarajia kunufanisha jumla ya vikundi vya wakulima na wafugaji kwenye kaya zipatazo 750. Mradi huu utatekelezwa kwa muda wa miaka miwili kuanzia mwaka 2017/2018 hadi 2018/2019. Katika Mwaka 2017/2018 shughuli zinazotarajia kufanyika ni kama ifuatavyo:-

  • Kuwezesha kilimo cha mazao ya bustani
  • Kuwezesha kikundi cha kuzalisha mbegu bora za Mihogo na viazi vitamu
  • Kuwezesha mafunzo kwa maafisa ugani na wakulima
  • Kuwezesha ufugaji wa kuku
  • Kuwezesha ufugaji wa sungura
  • Kuwezesha kilimo cha umwagiliaji matone (drip irrigation)
  • Kuwezesha kilimo cha teknolojia ya kitalu  nyumba (Green house)


VIKUNDI VYA HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA VILIVYOUNDWA KWA AJILI YA KUFADHILIWA NA FAO

S/N

JINA LA KIKUNDI

SHUGHULI 

MTAA

IDADI YA WANAKIKUNDI


ME

KE

JUMLA

1

Samuli group
Ufugaji kuku
Nyakanyasi

5

5

10

2

Tuinuane group
Ufugaji kuku
Nyakanyasi

25

10

35

3

Tweyambe group
Ufugaji kuku
Ijuganyondo A

0

10

10

4

Tegemeza group
Ufugaji wa Sungura
Nyamulugo

0

15

15

5

Shukuru group
Ufugaji kuku
Omukituli

0

20

20

6

Twejune group
Ufugaji sungura
Kyaya

18

6

24

7

Tushirikiane group
Ufugaji wa kuku
Bunkango

11

7

18

8

Faidika group
Kilimo cha Mazao ya Bustani
Kabalekangaiza

8

2

10

9

Tweyambe group
Kilimo cha mazao ya bustani
Omukituli

6

10

16

10

Tutashinda  group
Kilimo cha mazao ya bustani
Kagondo kaluguru

11

14

25

11

Mapambano group
Kilimo cha mazao ya bustani
Rubumba

10

5

15

12

Tuinuane group
Kilimo cha mazao ya bustani kwa njia ya umwagiliaji matone  pamoja na teknolojia ya kitalu nyumba (green house)
Kyakailabwa

6

13

19

13

Tweyemeo group
Uzalishaji wa mbegu za mihogo na viazi lishe
Ntungamo

4

22

26

14

Lashana group
Kilimo cha mazao ya bustani
Bushaga

9

13

22

15

Tuinuane group
Kilimo cha mazao ya Bustani
Kanazi

5

11

16

16

Mkombozi group
Kilimo cha mazao ya Bustani
Ijuganyondo B

8

3

11

 

JUMLA

126

166

292

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU March 22, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BUKOBA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA February 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI ASISITIZA UTUNZWAJI WA VIFAA VYA UANDIKISHAJI.

    April 29, 2025
  • MRADI WA UJENZI WA JENGO LA UPASUAJI WALETA FARAJA KWA KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA MANISPAA YA BUKOBA

    April 16, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA BUKOBA AONGOZA KIKAO KUHUSU UTOAJI WA DOZI YA PILI YA CHANJO YA POLIO

    April 15, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, AFYA NA ELIMU YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA BUKOBA

    April 14, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akitoa maelezo juu ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa