• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

TASAF III

Start Date: 2015-01-05
End Date: 2020-06-30

MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI- TASAF III

UTANGULIZI

Mpango wa kunusuru kaya Masikini ulianza utekelezaji wake katika Manispaa ya Bukoba mwezi Januari 2015 katika mitaa 45 kutoka katika kata 14. Hadi kufikia  April 2017 Jumla ya kaya za walengwa 3231 zinaendelea kunufaika na mpango wa kunusuru kaya Masikini kwa kupata ruzuku ya Msingi na baadhi kupata ruzuku ya kutimiza masharti ya Elimu na Afya.

MALENGO YA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI

HATUA ZA UTEKELEZAJI

  1. Utambuzi wa kaya maskini
  2. Uandikishaji wa kaya maskini
  3. Uhakiki wa kaya maskini
  4. Uhawilishaji wa fedha

    KAYA ZINAZOSTAHILI KUPATA RUZUKU
1. Kaya masikini sana zenye watoto zinazoishi katika mazingira duni

  • kaya hizi wakati mwingine haziwezi kumudu hata mlo mmoja kwa siku
  • Zinashindwa kugharimia huduma za msingi hususan za Elimu, afya na matibabu kwa wanakaya

           2.  kaya masikini sana zisizo na watoto zinazoishi katika mazingira duni
  • kaya hizi wakati mwingine haziwezi kumudu hata mlo mmoja kwa siku
  • kaya hizi zinashindwa kugharimia huduma za Afya na Matibabu


KAYA AMBAZO HAZISTAHILI KUPATA RUZUKU

  1. Kaya ambayo ina watu walioajiriwa katika sekta ya umma au binafsi na inauwezo wa kugharimia mahitaji ya msingi kama chakula, matibabu na gharama za shule kwa watoto
  2. Kaya inayomiliki rasilimali kama nyumba ya kupangisha, duka, gari, pikipiki na biashara inayoingiza kipato cha uhakika.
  3. Mkuu wa kaya ni kiongozi wa kisiasa mfano Mhe. Diwani, Mwenyekiti wa Mtaa ama mjumbe wa Halmashauri ya serikali ya Mtaa.

    UHAWILISHAJI WA FEDHA
    Tangu mpango wa kunusuru kaya masikini uanze hadi April 2017 awamu 10 za madirisha ya malipo zimetekelezwa na jumla ya Tsh. 1,509,816,000.00 zilipokelewa kwa ajili ya walengwa wa mapango wa kaya masikini katika Manispaa ya Bukoba                    
    MALIPO YALIYOPOKELEWA KWA AJILI YA WALENGWA TANGU JULY 2015 HADI APRIL 2017                                                                                                                                                                                                                                                                                           
    NO. DIRISHA LA MALIPO FEDHA ILIYOLETWA KWA  WALENGWA
    1 JULY-AUG 2015 161,828,000.00
    2 SEP- OCT 2015 148,356,000.00
    3 NOV -DEC 2015 148,284,000.00
    4 JAN-FEB 2016 143,272,000.00
    5 MARCH-APR 2016 141,572,000.00
    6 MAY - JUNE 2016 136,228,000.00
    7 JULY-AUG 2016 132,316,000.00
    8 SEP- OCT 2016 136,552,000.00
    9 NOV -DEC 2016 135,420,000.00
    10 JAN-FEB 2017 121,544,000.00
    11 MARCH-APR 2017 104,444,000.00

    JUMLA 1,509,816,000.00

    MAFANIKIO YA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI                                                                                                                        A.

    KAYA ZILIZOANZISHA UFUGAJI 

    NG'OMBE

    MBUZI

    NGURUWE

    KUKU

    IDADI YA KAYA

    IDADI YA NG'OMBE

    IDADI YA KAYA

    IDADI YA MBUZI

    IDADI YA KAYA

    IDADI YA NGURUWE

    IDADI YA KAYA

    IDADI YA KUKU

    JUMLA

    14

    17

    143

    318

    125

    203

    707

    3285 

     

                 B.                                                                                                                                                                                             

KAYA ZILIZO FANYA UKARABATI WA NYUMBA

UKARABATI

WALIO NUNUA BATI

IDADI YA KAYA

IDADI YA NYUMBA

IDADI YA KAYA

IDADI YA BATI

JUMLA

194

1245

303

303


C.
Jumla ya kaya 1086 wameanzisha biashara ndogondogo za kuongeza kipato kama vile kuuza mogamboga, kuuza samaki na biashara ya vyakula(mama rishe)

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU March 22, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BUKOBA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA February 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • "HATIBU OR-TAMISEMI: "TUENDELEE KUFUATILIA NA KUSIMAMIA MIRADI YETU KWA UKARIBU"

    May 27, 2025
  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI: MCHENGERWA

    May 23, 2025
  • DC. SIMA AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA MKATABA WA LISHE NGAZI YA KATA MANISPAA YA BUKOBA

    May 10, 2025
  • AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI ASISITIZA UTUNZWAJI WA VIFAA VYA UANDIKISHAJI.

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akitoa maelezo juu ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa