• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

Usafi na Mazingira

Usafi na Mazingira

Malengo ya Idara

Kuwachukulia hatua kali za kisheria watu wote wanaojihusisha na vitendo vya kuchafua mazingira bila kufuata miongozo elekezi ya wasimamizi  wa mazingira

 - Kutekeleza sheria ya mazingira namba 20 ya mwaka 2004 na sheria ndogo za (Usafi wa Mazingira) za Halmashauri ya Manispaa ya    Bukoba 2015
 - Kuandaa mfumu Ratiba zinazoelekeza utaratibu wa shughuli zinazopashwa kufanyika kwa siku za usafi wa Mazingira za Alhamis ya kila wiki na jumamosi ya mwisho mwa kila mwezi siku ya Kitaifa ya usafi wa Mazingira

  • Kupanda miti katika maeneo mbalimbali ya Manispaa ya Bukoba
  • Kuthibiti shughuli za binadamu zinazo athiri mazingira
  • Kulinda na kutunza mazingira ya manispaa ya bukoba
  • Kuhamasisha jamii kupanda miti, maua, ili kupendezesha mazingira yao
  • Kufanya ukaguzi wa mazingira hususa ni katika maeneo yenye athari za kimazingira


MAJUKUMU YA  AFISA MAZINGIRA
Afisa Mazingira anafanya kazi kulingana na mwongozo wa Sheria ya Mazingira namba 20 ya Mwaka 2004 na Muundo wa Wizara inayosimamia Mazingira chini ya Ofisi ya Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Majukumu makuu ya Maofisa Mazingira yamegawanyika katika makundi makuu mawili:

  • USAFI
  • MAZINGIRA

USAFI WA MAZINGIRA

Usafi
Idara anafanya kazi ya usafi kwa kufanya kazi zifuatazo:

  • Usafi wa majengo
  • Usafi wa barabara kwa kufagia nakuokota takataka
  • Usafi wa hifadhi ya Barabara kwa kufyeka nyasi zoe ndefu
  • Usafi wa mitaro kwa kuizibua na kuondoa taka zote
  • Usafi wa Makazi ya watu kuwa na vifaa vya kutunzia taka ngumu
  • Usafi wa maeneo yote ya Biashara,masoko na sehemu wazi za serikali
  • Usafi wa Viwandani,hotelini,na vyombo vya usafiri
  • Usafi wa ukusanyaji,usafirishaji,utupaji na utunzaji wa taka ngumu
  • Usafi wa Usaimamizi,uchambuzi wa taka ngumu katika Maghuba na Dampo kuu Nyanga


MAZINGIRA
Idara anafanya kazi zifuatazo:

  • Kuhifadhi,kulinda na kuthibiti uharibifu na Uchafuzi wa Mazingira ya Udongo,Maji,Hewa na Sauti
  • Kupanda Miti rafiki na Mazingira nakuthibiti Uharibifu wa Misitu
  • Kuthibiti vitendo vyote vya uharibifu wa Mazingira kwenye vyanzo vya Maji
  • Kutoza ada za taka kwa wote wanao chafua Mazingira
  • Kuwakamata wote wanao fanya shughuli za uharibifu wa Mazingira
  • Kufanya tathimini ya awali za Kimazingira katika Miradi mbalimbali
  • Kufanya Ukaguzi wa athari za Kimazingira
  • Kufanya utambuzi na uchambuzi wa athari za Mazingira
  • Kutembelea maeneo yote yenye Migogoro ya Kimazingira
  • Kufanya tathimini na tathimi za Utekerezaji na maandalizi ya mpango Kazi wa Taifa wa Mazingira
  • Kuandaa taarifa mbalimbali za kimazingira

UKUSANYAJI WA TAKA NGUMU

  • Taka ngumu zinazalishwa kutoka katika maeneo yote ya kiuchumi,kijamii,na maofisini
  • Taka ngumu zinazozalishwa zinasombwa na kupelekwa kwenye vituo vya kukusanyia taka ngumu (maghuba) .Tunalo ghuba la Soko kuu,soko la kashai,soko la Rwamishenye,soko la Nyakanyasi,Omba Mungu,Migera,Kahororo,Nyanshenye,Pepsi,Nyamkazi,Gymkana,Kastamu,Sido,Hospitali Kuu,Nyanga na kiteyagwa.
  • Maghuba hayatosherezi Mahitaji ya jamii kwani jamii ya Bukoba inakuwa kwa kasi na uzalishaji wa Taka ni mwingi unaongezeka.
  • Mkakati wa kuthibiti Taka ngumu zisitapakae mtaani
  • Wananchi wote tushirikianae kufanya usafi wa Mazingira na kupeleka taka ngumu maeneo yaliotengwa (Maghuba)
  • Utekerezaji wa sheria ndogo za usafi wa mazingira za manispaa ya Bukoba ,2015 na Sheria Mama ya Mazingira namba 20 ya Mwaka 2004,Wahusika watekereze sheria tajwa.
  • Kuelimisha jamii Kupitia vyombo vya habari kama REDIO KASIBANTE , REDIO VISION na REDIO BUKOBA.
  • Kuwahusisha wadau wa mazingira katika mipango ya kimazingira
  • Kuanzisha Maghuba Madogo kwa Mitaa ilio mbali na Maghuba ili kurahisisha ukusanyaji wa taka ngumu
  • Maandalizi ya kununua WHEELROADER/ TREKTA ya kupakia Taka ngumu kwa haraka kuliko ilivyo sasa.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU March 22, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BUKOBA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA February 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI ASISITIZA UTUNZWAJI WA VIFAA VYA UANDIKISHAJI.

    April 29, 2025
  • MRADI WA UJENZI WA JENGO LA UPASUAJI WALETA FARAJA KWA KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA MANISPAA YA BUKOBA

    April 16, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA BUKOBA AONGOZA KIKAO KUHUSU UTOAJI WA DOZI YA PILI YA CHANJO YA POLIO

    April 15, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, AFYA NA ELIMU YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA BUKOBA

    April 14, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akitoa maelezo juu ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa