• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

Ukaguzi wa Ndani

Utangulizi.

Uwepo wa ukaguzi wa ndani.

Marekebisho ya Sheria ya  fedha  za umma ya mwaka 2001(Public Finance  Act(2001)) sehemu ya ya 3(1) a –b imeanzisha ofisi ya Mkaguzi wa ndani Mkuu wa serikali ambaye amepewa jukumu la kuziongoza na kuzisimamia  idara na vitengo vyote vya ukaguzi wa ndani katika taasisi za serikali Tanzania.

Aidha sheria  ya fedha za serikali za mitaa namba 9 ya mwaka 1982sehemu ya 48 imeziagiza mamlaka zote za serikali za mitaa Tanzania kuanzisha vitego vya ukaguzi wa ndani .

Manispaa ya Bukoba inakitengo cha ukaguzi wa ndani ambacho mpaka leo kinawatumishi 3 kama ifuatavyo.

  • Omary ngayenda –Mkuu wa kitengo simu 0784855355  kaburiwazi @hotmail.com
  • Baraka Kiluta  Mkaguzi Daraja 1 simu 0713270233
  • Dickson  Christopher Mkaguzi daraja 1 simu 0755429614

Ukaguzi wa ndani Tanzania unafuata mwongozo wa ukaguzi wa ndani wa kimataifa na Tanzania ni wanachama wa Taasisi ya Ukaguzi wa Ndani ya Kimataifa (IIA).Mkaguzi mkuu wa ndani wa serikali anasimamia utekelezaji wa mwangozo wa Wakaguzi wa Ndani wa Kimataifa (IPPF).

Maana ya ukaguzi wa Ndani.
Kwa mujibu wa mwongozo wa Ukaguzi wa ndani wa Kimataifa (IPPF)Ukaguzi wa ndani ni shughuli huru,yenye lengo maalum la kutoa uhakiki na ushauri unaolenga kuongeza tija na kuboresha utendaji wa Taasisi kwa kuchambua na kuboresha usimamizi wa vihatarishi,kuimarisha udhibiti wa ndani na utawala bora.


JINSI KITENGO KINAVYOFANYA KAZI.
Kitengo kinaandaa mpango kazi wa ukaguzi wa mwaka ambao huwa tayari ifikapo june ya kila mwaka.Mpango kazi huu huonyesha maeneo yatayokaguliwa(Audit Universe) na muda ukaguzi huo utapofanyika.Mpango kazi wa mwaka hugawanywa kwa robo ambapo kila mkaguzi hupangiwa kazi zake na mkuu wa kitengo husimamia ili kuona ubora unapatikana.Mpango kazi wa mwaka hupitishwa na Kamati ya Ukaguzi,Menejimenti na Baraza la Madiwani kabla ya Kuanza kutumika.                                                                                   Wakaguzi huandaa prorammu ya ukaguzi na kufanya vikao vya awali nawakaguliwa(entrance meeting) ambapo dhumuni la ukaguzi huelezewa na Mkaguzi hupata fursa ya kujua shughuli zinavyofanyika pamoja na miongozo na sheria zinazoongoza shughuli hizo.Baada ya kikao hicho Wakaguzi hufanya uchambuzi wa nyaraka mbalimbali(inhouse review) na ndipo huandaa mpango wa kutekeleza ukaguzi huo.Wateja wetu wakubwa ni wakuu wa idara na vitengo ambapo shughuli husika hafanyika.Kwa kushirikiana na Mkaguliwa ukaguzi hufanyika na taarifa ya awali huandaliwa na kujadiliwa pamoja na mkaguliwa kabla taarifa ya mwisho kuandliwa ikiwa na maoni yamkaguliwa.


        TAARIFA ZA UKAGUZI WA NDANI.
Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani kinatakiwa na kinaandaa taarifa a Ukaguzi kila robo mwaka.Lengo la taarifa hizi ni kuiarifa kamati ya Ukaguzi,Menejimenti na Baraza kazi zilizofanyika ,matokeo ya ukaguzi na makubaliano na jinsi ya kurekebisha maeneo ambayo yanataka kuboreshwa kama yapo.Taarifa za ukaguzi huwasilishwa kwenye kamati ya Ukaguzi,Menejimenti na Baraza la Madiwani kwa kujadiliwa na hatimaye hupelekwa kwa Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali ,Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa na Ofisi ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Serikali Mkoa.
Kitengo kinafuatilia na kusimamia utekelezaji wa  yaliyojiri kwenye taarifa hizo.


Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU March 22, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BUKOBA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA February 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI ASISITIZA UTUNZWAJI WA VIFAA VYA UANDIKISHAJI.

    April 29, 2025
  • MRADI WA UJENZI WA JENGO LA UPASUAJI WALETA FARAJA KWA KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA MANISPAA YA BUKOBA

    April 16, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA BUKOBA AONGOZA KIKAO KUHUSU UTOAJI WA DOZI YA PILI YA CHANJO YA POLIO

    April 15, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, AFYA NA ELIMU YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA BUKOBA

    April 14, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akitoa maelezo juu ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa