• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

"HATIBU OR-TAMISEMI: "TUENDELEE KUFUATILIA NA KUSIMAMIA MIRADI YETU KWA UKARIBU"

Posted on: May 27th, 2025

Timu ya Wataalam ya tathmini na ufuatiliaji kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI imewataka Wataalam kutoka Manispaa ya Bukoba kuendelea kufuatilia na kusimamia kwa ukaribu miradi mbalimbali inayotekelezwa na ile ambayo imekamilika na ipo tayari kwa ajili ya kutumika.

Hayo yamebainishwa leo tarehe 27/5/2025 na Ndg. Abdulrahman Hatibu kutoka OR-TAMISEMI wakati timu hiyo ilipokagua miradi mbalimbali inayotekelezwa ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba pamoja na Wataalam wa Manispaa ya Bukoba wakiongozwa na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Tathmini na Ufuatiliaji sambamba na maafisa wengine kutoka Idara mbalimbali.

Wakati wa ukaguzi, jopo hili lilipata wasaa wa kutembelea nyumba ya Mkurugenzi wa Manispaa, ujenzi wa Stendi ya mjini kati, pamoja na miradi ya elimu ambapo walipata wasaa wa kutembelea shule ya Msingi Byabato iliyoko Kashenye pamoja na ujenzi wa shule mpya ya sekondari iliyopo Kata ya Ijuganyondo, shule ambayo ipo katika hatua ya ukamilishwaji.

Wakiwa katika shule ya Msingi Byabato, Wataalam hawa wamesisitiza pia utunzwaji wa majengo pamoja na vifaa muhimu vya kujifunzia ili viweze kutumika kwa muda mrefu.

“Serikali yetu imeendelea kutoa fedha nyingi sana kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu hii ya watoto wetu, nikusihi mwalimu mkuu na wenzako muendelee kuyatunza majengo pamoja na samani zilizopo madarasani ili hata ile thamani ya fedha inayotolewa iweze kuonekana” Amesema Hatibu.

VIlevile, ziara hii iliweza kupita Kata ya Kagondo kwa ajili ya kujionea ujenzi wa nyumba ya walimu 2 kwa 1 shule ya sekondari Kyamigege iliyojengwa kwa fedha shilingi Miliomi 100 na tayari nyumba hii imekamilika na ipo tayari kwa matumizi

Ziara hii ya timu ya Wataalam kutoka TAMISEMI ni sehemu ya ziara inayofanyika nchini kwa ajili ya kujionea miradi mbalimbali imayoendelea kutekelezwa sambamba na ilie ambayo imetekelezwa kwenye utawala wa awamu ya sita unaoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU March 22, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BUKOBA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA February 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • RC MWASSÀ AIPONGEZA MANISPAA YA BUKOBA. KWA HATI SAFI,

    June 16, 2025
  • "HATIBU OR-TAMISEMI: "TUENDELEE KUFUATILIA NA KUSIMAMIA MIRADI YETU KWA UKARIBU"

    May 27, 2025
  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI: MCHENGERWA

    May 23, 2025
  • DC. SIMA AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA MKATABA WA LISHE NGAZI YA KATA MANISPAA YA BUKOBA

    May 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akitoa maelezo juu ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa