• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

KAMATI YA MIPANGO MIJI YATHIBITISHA MANISPAA KUMILIKI ENEO LA GYMKANA. BUKOBAMC

Posted on: July 11th, 2024

Mkuu wa Idara ya Mipango Miji na Mazingira, Ndg. Kurwa Hanta kwa niaba ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba, Ndg. Jacob S. Nkwera, ameiambia kamati ya Mipango Miji na mazingira kuwa Kamati imefanikiwa kutwaa eneo lililokuwa likimilikwa na mtu binafsi na kuwa mali halali ya Halmashauri.

Eneo hilo ambalo linajulikana kama kiwanja cha Gymkana, lililopo pembezoni mwa ziwa Victoria, lina ukubwa wa hekari zaidi ya 11 na limepangwa kuwa kama eneo la burudani (Recreational Centre) na litakuwa chini ya Manispa ya Bukoba.  

Ndugu Hanta ameyasema hayo, leo tarehe 11/07/2024 wakati Kamati ya Mipango Miji na Mazingira ya Manispaa ya Bukoba ilipokuwa katika ziara ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ambayo imejengwa  au inatekelezwa na Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2023/2024.

Awali, historia ya umiliki wa kiwanja hicho ulikuwa chini ya Ndg. Robert Henry Escolme na Thomas mwaka 1927 ambao walimilikishwa kwa hati ya miaka 99 kikiwa na ukubwa wa hekari 41 na mwaka 1939, umiliki ulihamia kwa Bodi ya Wadhamini ya Bukoba Gymkana Club ambao nao baadae walibadilisha jina na kujulikana kama Bodi ya Wadhamini wa Bukoba Club mwaka 2019.

Kufuatia jitihada za Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba, Bodi  ya Wadhamini wa Bukoba Club walikubali kurejesha sehemu ya ardhi na hivyo kuruhusu upangaji na upimaji mpya ambapo kwa sasa mgawanyo wa ardhi hiyo ni Halmashauri kuchukua hekari 11.6, Bodi ya Wadhamni ya Bukoba Club kubaki na hekari 3.7 na wakati huo Shule ya Lake wakiwa na hekari 4.4.

Naye Mstahiki Meya wa Manispaa Mhe. Godson R. Gypson, aliipongeza kamati hiyo ya Mipango Miji na Mazingira kwa kufanikisha kutwaa eneo hilo na kuwa mali halali ya Halmashauri na kueleza kuwa kwa sababu ya umuhimu wa eneo hilo na sehemu lilipo, linaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa upatikanaji wa mapato ya Halmashuri kama wataalamu wa Manispaa  wataweka mikakati mizuri ya kulitumia na kujiingizia kipato.

Upimaji na upangaji wa ardhi hiyo umekamilika kwa asilimia mia moja ambapo kiwanja hicho kinajulikana kama Kiwanja Na. 164 Kitalu ‘1’ Bukoba Town na kikiwa na Hati namba 7545

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU March 22, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BUKOBA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA February 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • RC MWASSÀ AIPONGEZA MANISPAA YA BUKOBA. KWA HATI SAFI,

    June 16, 2025
  • "HATIBU OR-TAMISEMI: "TUENDELEE KUFUATILIA NA KUSIMAMIA MIRADI YETU KWA UKARIBU"

    May 27, 2025
  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI: MCHENGERWA

    May 23, 2025
  • DC. SIMA AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA MKATABA WA LISHE NGAZI YA KATA MANISPAA YA BUKOBA

    May 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akitoa maelezo juu ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa