• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

OFISI YA RAIS-TAMISEMI NA WIZARA YA AFYA WAJA NA NAMBA YA BAHATI KWA MAMA WAJAWAZITO

Posted on: July 8th, 2024

Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa kushirikiana na Wizara ya Afya wametoa mafunzo ya siku moja kwa Maafisa Habari, Waelimisha Umma na Waratibu wa Mfumo wa m-mama ngazi ya Mkoa na Halmashauri katika Mkoa wa Kagera jinsi ya kuelimisha jamii kuhusu mfumo wa m-mama wa rufaa zitakazotoka katika jamii kwenda vituo vya afya pamoja na matumizi ya namba ya bure ya 115.

Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa BCD Stella Hotel uliopo Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera ambapo Maafisa Habari, Waelimisha Umma na Waratibu wa Mfumo wa m-mama ngazi ya Mkoa na Halmashauri wametakiwa kushirikiana na waratibu wa m-mama Mkoa wa Kagera katika uelimishaji wa jamii juu ya mfumo wa m-mama na matumizi ya namba ya bure ya 115 inapotokea dharura ya haraka kwa mama mjamzito, mama aliyejifungua ndani ya siku 42 na mtoto mchanga aliye ndani ya siku 28.

Akitoa mafunzo hayo, Catherine Kavula kutoka Ofisi ya Rais-TAMISEMI alisema kuwa, namba 115 ni namba maalum ambayo wananchi wanaendelea kusisitizwa kuitumia kwa kupiga simu BURE pale inapotokea dharura kwa mama mjamzito kama vile kutokwa damu sehemu za siri, kutokwa maji maji yenye harufu sehemu za siri pamoja na kuumwa kichwa ili mama huyo aweze kufuatwa haraka na kuwahishwa katika kituo cha afya kilicho karibu nae kwa ajili ya matibabu kupitia usafiri wa Ambulance au Madereva Jamii wa m-mama bila mteja kulipia malipo yoyote kwa huduma ya usafiri huo.

“Maafisa Habari, Waelimisha Umma na Waratibu wa m-mama tunaamini mnao uwezo mkubwa wa ufikishaji wa taarifa kwenye jamii kupitia njia mbalimbali, wengine hapa ndiyo mnaoendesha kurasa za mitandao ya kijamii za taasisi na serikali na wengine mnawafikia moja kwa moja wananchi, tumieni njia hizo kuelimisha jamii juu ya namba 115, kupitia elimu hiyo mtakuwa mmesaidia kutimiza adhima ya serikali katika kuokoa maisha ya mama wajawazito na watoto wachanga"

Sambamba na hilo, kupitia mafunzo hayo wataalam hao wameweza kutengeneza Mpango Kazi wa Mkoa unaolenga kuwafundisha na kuwaelimisha viongozi wa ngazi zote pamoja na wananchi ili kuwa na uelewa wa kutosha juu ya matumizi sahihi ya namba 115.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU March 22, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BUKOBA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA February 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI ASISITIZA UTUNZWAJI WA VIFAA VYA UANDIKISHAJI.

    April 29, 2025
  • MRADI WA UJENZI WA JENGO LA UPASUAJI WALETA FARAJA KWA KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA MANISPAA YA BUKOBA

    April 16, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA BUKOBA AONGOZA KIKAO KUHUSU UTOAJI WA DOZI YA PILI YA CHANJO YA POLIO

    April 15, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, AFYA NA ELIMU YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA BUKOBA

    April 14, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akitoa maelezo juu ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa