• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA WAPIGWA MSASA

Posted on: September 30th, 2024

Na Charles Kunji

Msimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba ambaye pia ni Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Ndg. Jacob S. Nkwera, leo amefungua  mafunzo maalum kwa wasimamizi wasaidizi wa ngazi ya kata na kijiji wapatao 80 ili kuwaandaa kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao unatarajia kufanyika tarehe 27/11/2024.

Mafunzo hayo ambayo yamefanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba, yanalenga kuwapitisha Wasimamizi wasaidizi ngazi ya Kata na Vijiji taratibu mbalimbali zitakazotumika kwenye Uchaguzi huo sambamba na sheria na Kanuni za Uchaguzi.

Katika mafunzo hayo, Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba Ndugu Nkwera, alisisitiza umuhimu wa ushiriki wa wananchi katika uchaguzi, akitoa maelekezo ya kina kuhusu taratibu za uchaguzi, ikiwemo sifa za kugombea, sifa za wapiga kura, mchakato wa kujiandikisha kupiga kura huku akibainisha kuwa wananchi wanapaswa kushiriki kikamilifu kwa mujibu wa sheria na kanuni za uchaguzi, huku wasimamizi wakihakikisha kuwa mchakato mzima unaendeshwa kwa uwazi na haki.

Bwana Nkwera pia alieleza kwa undani kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa kwa mwaka 2024, akifafanua michakato ya kufuatwa na wasimamizi wa uchaguzi katika kuhakikisha haki na uwazi vinafikiwa. Aidha, alitoa wito kwa wanasemina hao kuhakikisha kuwa kila hatua inazingatia miongozo iliyotolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, tarehe 15 Agosti 2024, kama mwongozo wa uchaguzi wa mwaka huu.

Katika mafunzo hayo, wasimamizi wasaidizi walipata fursa ya kula kiapo cha uaminifu, kiapo ambacho kinawataka kuwa waaminifu na waadilifu katika utekelezaji wa majukumu yao ya kusimamia uchaguzi. Kiapo hicho ni sehemu muhimu ya maandalizi ya kuhakikisha kuwa wasimamizi wanafuata sheria na taratibu bila kupendelea upande wowote.

Msimamizi wa Uchaguzi aliendelea kuwasihi wasimamizi wasaidizi kuzingatia viapo vyao, akiwataka kuwa makini na wenye nidhamu katika kutekeleza majukumu yao. Alisisitiza kuwa kazi ya kusimamia uchaguzi ni jukumu zito linalohitaji uadilifu na uaminifu, hivyo ni lazima kila msimamizi ahakikishe kuwa anafuata sheria na kanuni zilizowekwa.

Kadhalika, Msimamizi wa Uchaguzi aliendelea kuwasisitiza Wasimamizi wasaidizi ngazi ya Katana Vijiji kujikita kufanya kazi yao kwa weledi ili kuepusha migigiri mbalimbali ambayo inaweza kutokea katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi wa Serkali za Mitaa.

Mafunzo haya ni sehemu ya maandalizi muhimu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwezi Novemba mwaka huu, ambapo wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba na maeneo mengine watapata fursa ya kuchagua viongozi watakaoongoza vijiji, vitongoji na mitaa katika  halmashauri zao.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU March 22, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BUKOBA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA February 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI ASISITIZA UTUNZWAJI WA VIFAA VYA UANDIKISHAJI.

    April 29, 2025
  • MRADI WA UJENZI WA JENGO LA UPASUAJI WALETA FARAJA KWA KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA MANISPAA YA BUKOBA

    April 16, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA BUKOBA AONGOZA KIKAO KUHUSU UTOAJI WA DOZI YA PILI YA CHANJO YA POLIO

    April 15, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, AFYA NA ELIMU YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA BUKOBA

    April 14, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akitoa maelezo juu ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa