• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

YALIYOJIRI WAKATI WA MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI KUJADILI TAARIFA ZA ROBO YA KWANZA 2024/2025

Posted on: November 16th, 2024

Mkutano wa Baraza la Madiwani Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba umefanyika tarehe 16/11/2024, siku ya Jumamosi kwenye Ukumbi wa Mikutano wa KCU ikiwa ni Baraza Maalum kwa ajili ya kukabidhi tuzo kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Hajjat Fatma Mwassa kwa kuwa kinara katika kusimamia miradi ya maendeleo ndani ya Manispaa ya Bukoba na Mkoa wa Kagera kwa ujumla.

Azimio hilo liliibuliwa kwenye vikao vya Kamati na kukubaliana kwa kauli moja kumpa tuzo ikiwa ni kama zawadi kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwa kuwa kinara katika kusimamia miradi ya maendeleo lakini pia kwa kuuwezesha Mkoa wa Kagera kushika nafasi ya kwanza kwenye mbio za Mwenge wa Uhuru 2024 pamoja na kuiwezesha Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba kushika nafasi ya tatu Kimkoa sambamba na kushika nafasi ya nane kitaifa.

Mhe. Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba apongeza Baraza la Madiwani kwa juhudi zake na mikakati ya kuinua mapato ya Manispaa ya Bukoba. “Baada ya kuingia kwenye Baraza hili, tulikuwa na maazimio matatu, la kwanza, ilikuwa ni kusimami miradi ya maemndeleo la pili ni kuhakikisha Halmashauri yetu ya Bukoba imekuwa tulivu na amani lakini azimio la tatu ilikuwa ni kuhakikisha tunaongeza mapato ya Halmashauri yetu ya Manispaa ya Bukoba” Alisema Meya.

Kadhalika, Meya alisema wakati akiingia kwenye Baraza hilo, aliikuta Halmashauri ikikusanya bilioni 1.7 kwa mwaka na sasa kwa wamepandisha mapato ya Halmashauri hiyo kwa kuiwezesha kukukasanya zaidi ya bilioni 2.8 kwa mwaka.

Mkuu wa Wilaya ya Bukoba, Mhe. Erasto Sima, asisitiza uwepo wa amani siku ya kupiga kura, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika tarehe 27/11/2024. “Ulinzi na usalama kwenye Wilaya yetu umeendelea kuimarishwa kwa kushirikiana na Kamati ya Usalama ya Wilaya kwa kushirikiana na Kamati ya Usalama Mkoa, hivyo wote tuliojiandikisha twendeni wote tukapige kura kuchagua viongozi tunaowataka” Alieleza Sima.

RC. Mwassa awapongeza Wahe. Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba kwa kazi kubwa na nzuri wanazozifanya. “Ninawashukuru na kuwapongeza kwa kazi kubwa na nzuri mnazofanya. Kwa bahati nzuri na kwa kuwa mimi nimekuwa nikitembea saiti mara kadhaa, ninyi wote tulishakutana kwenye Kata zenu na ni ukweli mtupu mnafanya kazi nzuri sana na iliyotukuta” Alisema RC. Mwassa.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU March 22, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BUKOBA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA February 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI ASISITIZA UTUNZWAJI WA VIFAA VYA UANDIKISHAJI.

    April 29, 2025
  • MRADI WA UJENZI WA JENGO LA UPASUAJI WALETA FARAJA KWA KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA MANISPAA YA BUKOBA

    April 16, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA BUKOBA AONGOZA KIKAO KUHUSU UTOAJI WA DOZI YA PILI YA CHANJO YA POLIO

    April 15, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, AFYA NA ELIMU YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA BUKOBA

    April 14, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akitoa maelezo juu ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa