• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

BURUTE SACCOS YATIMIZA MSINGI WA SABA WA USHIRIKA WA KUJALI JAMII

Posted on: October 10th, 2025

Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Watumishi wa Umma Bukoba na Missenyi (BURUTE SACCOS) kimetimiza kwa vitendo Msingi wa Saba wa Ushirika unaohimiza vyama vya ushirika kujali na kusaidia jamii inayowazunguka.

Akizungumza katika hafla maalum ya utoaji wa msaada kwa jamii, Mwenyekiti wa BURUTE SACCOS, Mwalimu Charles Tegamaisho, alisema chama hicho kimejipambanua kuwa si tu chombo cha kuweka na kukopa, bali pia ni mshirika muhimu wa maendeleo ya kijamii katika mkoa wa Kagera.

“Misingi saba ya ushirika ndiyo nguzo ya utendaji wetu, na leo tunatekeleza msingi wa saba – kujali jamii – kwa vitendo. Tumeamua kugawa sehemu ya mapato yetu ili kusaidia katika sekta muhimu kama elimu na afya,” alisema Mwalimu Tegamaisho.

Katika hafla hiyo iliyohudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mheshimiwa Fatma Mwassa, ambaye alikuwa mgeni rasmi, BURUTE SACCOS ilitoa msaada wa Madawati 340, Vyandarua 205 pamoja na  Mashuka 240.

Vilevile, vifaa kama pampasi za watoto chini ya miaka mitano (boksi 6) sukari kilo 100 maharage kilo 200pamoja na bima za afya kwa wanafunzi 40 vilitolewa.

Msaada huo umelenga kuboresha mazingira ya kujifunzia na kuimarisha huduma za afya katika jamii za Bukoba na Missenyi.

Akizungumza wakati akikabidhi vifaa hivyo kwa wahusika,  Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mheshimiwa Fatma Mwassa, aliipongeza BURUTE SACCOS kwa kuwa mfano wa kuigwa katika kutekeleza falsafa ya ushirika.

“Huu ni ushahidi kwamba vyama vya ushirika vinaweza kuwa nguvu ya maendeleo ya watu na si ya wanachama pekee. Nawaomba SACCOS nyingine ziige mfano huu wa kujali jamii,” alisema Mheshimiwa Mwassa.

BURUTE SACCOS imeendelea kuwa nguzo muhimu kwa watumishi wa umma katika maeneo ya Bukoba na Missenyi, ikichochea ustawi wa kifedha wa wanachama wake na kuchangia maendeleo ya kijamii katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Kagera.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UCHAGUZI MKUU 2025 October 02, 2025
  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 15, 2025
  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU March 22, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BUKOBA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 10, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • PASS TRUST YAENDELEA NA JUKWAA LA BIASHARA BUKOBA, YAWEKA MKAZO KWA USHIRIKIANO NA TAASISI ZA FEDHA KUKUZA SEKTA YA KILIMO

    October 10, 2025
  • BURUTE SACCOS YATIMIZA MSINGI WA SABA WA USHIRIKA WA KUJALI JAMII

    October 10, 2025
  • Watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba wapewa mafunzo kuhusu Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi

    October 07, 2025
  • RCA YAWANOA WADAU NAMNA BORA YA KUWALEA WATOTO WA MITAANI

    September 25, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akitoa maelezo juu ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa