• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA AFURAHISHWA KAGERA INAVYOTEKELEZA MKAKATI WA SERA YA VIJANA YA MIAKA KUMI 2024-2034

Posted on: September 28th, 2024

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndugu Godfrey Eliakimu Mnzava afurahishwa na namna mkoa wa Kagera ulivyotekeleza Sera ya Taifa ya maendeleo ya vijana ya mwaka 2007 na kutekeleza kwa vitendo Mkakati wa miaka kumi wa Sera hiyo wa mwaka 2024 hadi 2034 kwa kuwatengenezea vijana Kongani za utekelezaji wa shughuli zao.

Ndugu Mnzava alisema mkoa wa Kagera umeelewa sera na mkakati wake wa kuendeleza vijana baada ya Mwenge wa Uhuru kutembelea na kuona kongani ya shughuli za vijana na namna walivyowezeshwa ili kujipatia ajira.

Akiongea mbele ya wananchi mara baada ya kupata nafasi kutoka kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajjat Fatma Abubakar Mwassa alisema mkoa wa Kagera umeandaa mkakati wa kuhakikisha vijana wanapatiwa maeneo ya kutekeleza shughuli zao ili waweze kujiajili, kuongeza ujuzi na kujipatia kipato kwa kufanya shughuli zao kwa pamoja.

Aidha, Mkuu wa Mkoa Hajjat Fatma Mwassa alisema lengo la mkoa ni kuhakikisha vijana wanarudi mashambani kulima na kuzalisha kahawa kwa wingi. "Tayari tumelima shamba la ekari elfu kumi zitakazowanufaisha vijana elfu kumi kwa kilimo cha kisasa cha kahawa na tayari tumewapatia vijana wanaendelea na kilimo wilayani Muleba na lengo tutazifikia wilaya zote." Alifafanua Mkuu wa Mkoa Mwassa.

Kwa upande mwingine Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndugu Mnzava baada ya kuridhishwa namna Kongani ya vijana Manispaa ya Bukoba inavyotoa ajira kwa vijana alielekeza Mikoa mingine kwenda mkoani Kagera kujifunza mamna ya kutekeleza Mkakati wa Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana ya mwaka 2007 kwa miaka kumi 2024 hadi 2034.

Mwenge wa Uhuru mwaka 2024 umeendeleza mbio zake mkoani Kagera katika Manispaa ya Bukoba Septemba 28, 2024 kwa kutembelea na kuona, kuzindua, kufungua na kuweka mawe ya msingi jumla ya miradi ya maendeleo sita (6) yenye thamani ya gharama ya shilingi bilioni 4.9

Mwenge wa Uhuru unatarajia kuhitimisha mbio zake mkoani Kagera Septemba 29, 2024 katika Wilaya ya Muleba na kukabidhiwa mkoani Geita Septemba 30, 2024

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU March 22, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BUKOBA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA February 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI ASISITIZA UTUNZWAJI WA VIFAA VYA UANDIKISHAJI.

    April 29, 2025
  • MRADI WA UJENZI WA JENGO LA UPASUAJI WALETA FARAJA KWA KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA MANISPAA YA BUKOBA

    April 16, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA BUKOBA AONGOZA KIKAO KUHUSU UTOAJI WA DOZI YA PILI YA CHANJO YA POLIO

    April 15, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, AFYA NA ELIMU YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA BUKOBA

    April 14, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akitoa maelezo juu ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa