• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

Mafuriko yatokea Manispaa ya Bukoba

Posted on: April 10th, 2017

TAARIFA YA AWALI YA ATHARI YA MVUA ILIYOSABABISHA MAFURIKO KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA BUKOBA TAREHE 08/04/2017

UTANGULIZI
Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba, usiku wa kuamkia tarehe 8/4/2017 kuanzia, saa 9 usiku hadi saa 5 asubuhi ilinyesha mvua kubwa iliyosababisha mafuriko katika Kata za Bilele, Bakoba, Nshambya, Miembeni, Hamugembe, Rwamishenye,Kagondo na Nyanga.

ATHARI ZILIZOJITOKEZA

  •  Watu wanne (4) wamejeruhiwa na wamelaza hospitali ya mkoa Kagera.
  • Hakuna vifo vilivyojitokeza au kuripotiwa
  •  Nyumba zilizoanguka kabisa ni 11
  • Nyumba zilizoanguka baadhi ya kuta ni 18
  • Nyumba zilizoingiliwa na maji ni 710
  • Miundombinu ya barabara iliyoharibika ni barabara ya Kiroyera na kasarani
    Kata Sakoba.
  • Miundombinu ya maji imepasuka na ufuatiliaji unaendelea kubaini kiwango
    cha uharibifu.
  • Mali za wakazi kuharibiwa na maji kama vile vyakula, vifaa vya nyumbani
    na mifugo.


Waliookolewa

Idadi ya watu waliookolewa katika Kata zote zilizoathirika ni 168 

  • Waiiookolewa na jamii ni 78
  • Waliookolewa na jeshi la zima moto ni 90
    Jumla 68.

Maoni
Pamoja na mvua kubwa iliyonyesha mambo yafuatayo yamechangia kutokea kwa
mafuriko makubwa.

  •  Ujenzi holela kandokando ya mito, maeneo ya tinga tinga na mabonde.
  • Uchimbaji wa mchanga na kokoto kando kando ya mito.
  • Kulima kilimo kisichozingatia Sheria.
  •  Utupaji wa taka ngumu kwenye vyanzo vya maji na mifereji.


Mikakati ya muda mfupi

  1. Uokoaji wa watu waliozingirwa na maji kwa kutumia mitumbwi na kamba.
  2. Uongozi wa Kata na Mtaa kuimarisha ulinzi na usalama katika maeneo yao
    yaliyo athirika.
  3. Wakazi wote kuhimizwa kuzingatia kanuni za afya hasa kuchemsha maji ya
    kunywa, usafi wa vyoo na kula vyakula vya mota kwa wakati huu wa mvua
    za masika.
  4. Wananchi walioathirika, kujihifadhi kwa ndugu na jamaa au katika shule za
    msingi na sekondari zilizopo karibu na maeneo yao.
  5. Kuomba wadau na mashirika mbalimbali. kuwapatia watu waliathirika
    msaada wa chakula na malazi.

Mikakati ya muda mrefu

  1. Wakazi wote waliojenga nyumba kwenye hifadhi ya mito (mita 60 kutoka
    kwenye kingo za mito) waondoke kwa mujibu wa sheria ya mazingira
    Namba 20 ya mwaka 2004.
  2. Wakazi wote wanaojishughulisha na shughuli za kibinadamu mfano kilimo,
    uchimbaji mchanga, kokoto, ufyatuaji wa matofari, uoshaji wa magari
    kando kando waache mara moja.
  3. Watu wasijenge bila vibali vya ujenzi (ujenzi holela).

Aidha notisi zilishatolewa kwa wakazi kuwazuia kuendesha shughuli za kibinadamu ndani ya mita 60 kutoka vyanzo na mapitio ya maji.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU March 22, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BUKOBA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA February 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI ASISITIZA UTUNZWAJI WA VIFAA VYA UANDIKISHAJI.

    April 29, 2025
  • MRADI WA UJENZI WA JENGO LA UPASUAJI WALETA FARAJA KWA KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA MANISPAA YA BUKOBA

    April 16, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA BUKOBA AONGOZA KIKAO KUHUSU UTOAJI WA DOZI YA PILI YA CHANJO YA POLIO

    April 15, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, AFYA NA ELIMU YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA BUKOBA

    April 14, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akitoa maelezo juu ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa