• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

MWENGE WA UHURU WAHITIMISHA MBIO ZAKE MKOANI KAGERA.

Posted on: September 15th, 2025

Mwenge wa Uhuru 2025 umemaliza mbio zake katika Mkoa wa Kagera na umekabidhiwa rasmi kwa Mkoa wa Kigoma leo, Septemba 15, 2025, ambapo Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mhe. Hajjat Fatma Mwassa, amemkabidhi Mwenge huo Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, IGP Balozi Simon N. Sirro.

Katika kipindi chote cha mbio zake mkoani Kagera, Mwenge wa Uhuru umepita katika Halmashauri zote nane za mkoa huo ambazo ni Muleba, Bukoba Vijijini, Manispaa ya Bukoba, Missenyi, Kyerwa, Karagwe, Ngara na Biharamulo.

Mwenge huo umekimbizwa umbali wa takribani kilomita 1,040 na umekuwa umefanikisha kutembelea, kukagua, kuzindua na kuweka mawe ya msingi katika miradi 58 ya maendeleo.

Miradi hiyo imegusa sekta mbalimbali ikiwemo afya, elimu, maji, barabara, nishati na michezo yenye thamani inayokadiriwa kufikia shilingi bilioni 23.8.

Aidha, kupitia mbio hizo wananchi wamepata fursa ya kushiriki moja kwa moja katika uzinduzi wa miradi hiyo na kushuhudia mafanikio ya jitihada za Serikali katika kuwaletea maendeleo.

Mwenge wa Uhuru umeendelea kuwa chombo muhimu cha kuhamasisha mshikamano, uzalendo na ushirikiano wa kitaifa sambamba na kupiga vita rushwa, dawa za kulevya na VVU/UKIMWI.

Kwa kukabidhiwa mkoani Kigoma, Mwenge wa Uhuru unaendelea na mbio zake kitaifa kwa mwaka 2025 kwa lengo la kuimarisha mshikamano wa Watanzania na kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini huku ukiwa na kauli mbiu isemayo: “Jitokeze kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kwa Amani na Utulivu.”

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU March 22, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BUKOBA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA February 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MWENGE WA UHURU WAHITIMISHA MBIO ZAKE MKOANI KAGERA.

    September 15, 2025
  • "LISHE BORA DARASANI, MATOKEO BORA YA MITIHANI"

    September 03, 2025
  • TAFUTENI FURSA ZA UWEKEZAJI KATIKA MAENEO YENU. MJUNGU

    August 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMJENGEA NYUMBA BI CATHERINE NA WAJUKUU ZAKE SITA

    August 23, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akitoa maelezo juu ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa