• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

"TUMEWAPA MIKOPO, HAKIKISHENI MNAIRUDISHA KWA WAKATI" DC SIMA

Posted on: January 27th, 2025

Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba, ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mhe. Erasto Sima  leo  tarehe 27/1/2025, imekabidhi rasmi mfano wa hundi yenye thamani ya SH. 417,200,000 kwa wale wote walioomba na kukidhi vigezo kwenye mikopo ya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu.

Hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika kwenye uwanja wa Kaitaba ambapo jumla ya vikundi 79 vimepata fedha hizo  huku vikundi vya wanawake vikiwa 41 na kupata sh. 208,000,000, na vikundi vya vijana vikiwa 32 na kupewa sh. 197,000,000 wakati huohuo vikundi vya watu wenye ulemavu  vikiwa 6 na kupewa SH. 12,200,000.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispa ya Bukoba Ndg. Jacob S. Nkwera aliieleza hadhara hiyo kuwa kwenye fedha zote hizo ambazo zimetolewa leo, jumla ya SH. 324,200,000 ni fedha kutoka michango ya asilimia 10 ya mapato ya ndani ya Halmashauri huku Sh. 93,000,000 zikiwa ni fedha za marejesho ya vikundi vilivyokopa miaka ya nyuma.

Nae Mhe. Mstahiki meya akiongea na Wajasiliamali hao ambao wamepokea fedha hizo alisema, tuna haki ya kujivunia kwa kuona mapato yetu ya ndani yanakusanywa na kazi zinazofanyika zinaoneka. “Nendeni mkazitume hela hizi kwa malengo mliyokusudia” Alisisitiza Mstahiki Meya wa Manispaa ya Bukoba, Mhe. Godson Gypson.

“Mlikuwa mkipata mikopo hii kutoka Halmashauri, lakini Mhe. Rais akawa amesimamisha kwanza jambo hili. Na nia kubwa ya kusimamishwa ni kwa jinsi vikundi vingi havikuwa vimeonyesha uaminifu tunakopa fedha, haturudishi, Awamu hii hatupaswi kuleta mzaha” Alisema Mkuu wa Wilaya ya Bukoba.

Vilevile, Mkuu huyo wa Wilaya alisema, pamoja na kuwepo kwa miezi mitatu kabla hamjaanza kurejesha mikopo hiyo, lakini bado hamzuiliwi kuanza kufanya marejesho muda wowote kuanzia sasa kama mtu unaona mambo yako yanaenda vizuri wala huna haja ya kukaa na hela ndani.

Ikumbukwe kuwa wanufaika hawa wa mikopo wataanza kufanya marejesho ya mikopo hii kuanzia mwezi wa nne tarehe kama ya leo.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU March 22, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BUKOBA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA February 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI ASISITIZA UTUNZWAJI WA VIFAA VYA UANDIKISHAJI.

    April 29, 2025
  • MRADI WA UJENZI WA JENGO LA UPASUAJI WALETA FARAJA KWA KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA MANISPAA YA BUKOBA

    April 16, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA BUKOBA AONGOZA KIKAO KUHUSU UTOAJI WA DOZI YA PILI YA CHANJO YA POLIO

    April 15, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, AFYA NA ELIMU YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA BUKOBA

    April 14, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akitoa maelezo juu ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa