• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

WANANCHI WARIDHIA KUHAMISHWA KWA MAKABURI YA KISHENGE KUPISHA UJENZI WA SOKO

Posted on: September 16th, 2025

Katika kutekeleza miradi ya maendeleo, Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba kupitia timu ya uratibu wa kuhamisha makaburi ya Kishenge imekutana leo na wananchi wanaodhaniwa kuwa ndugu wa marehemu waliolazwa kwenye makaburi hayo, kwa ajili ya majadiliano.

Kikao hicho kililenga kuwafahamisha wananchi hao kuhusu mpango wa Serikali, kupitia ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa, wa kutwaa eneo hilo kwa ajili ya ujenzi wa soko kubwa litakaloweza kuhudumia wafanyabiashara zaidi ya 2,000.

Akizungumza katika kikao hicho, Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba, Ndugu Jacob Nkwera, alisema:
"Tulipata nafasi ya kuandaa maandiko ya kuomba fedha za miradi, na sasa tumeidhinishiwa fedha nyingi kwa ajili ya ujenzi wa complex kubwa. Mji wetu ni mdogo na maeneo mengi yamebana, ndio maana tukaamua kuomba kutumia eneo hili la Kishenge.”

Aidha, aliongeza kuwa pamoja na matangazo yaliyotolewa kupitia mitaani na vyombo vya habari, lisingekuwa jambo la busara kuanza mchakato bila kuzungumza na wananchi ambao ni wahusika muhimu.

Kwa kauli moja, wananchi walioridhia mchakato huo waliitaka Halmashauri kuendelea nao huku wakisisitiza umuhimu wa kushirikishwa katika kila hatua ya utekelezaji.

Ikumbukwe kuwa, Halmashauri tayari imeandika na kutuma nyaraka kwenye ofisi ya Waziri wa Ardhi na tarehe 11 Februari mwaka huu, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa Deogratias Ndejembi (MB), alitembelea eneo hilo kujionea hali kabla ya kutoa kibali cha kuhamisha makaburi yanatarajiwa kuhamishiwa kwenye kiwanja kilichopimwa, kilichopo Kata ya Buhembe.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU March 22, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BUKOBA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA February 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WARIDHIA KUHAMISHWA KWA MAKABURI YA KISHENGE KUPISHA UJENZI WA SOKO

    September 16, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAHITIMISHA MBIO ZAKE MKOANI KAGERA.

    September 15, 2025
  • "LISHE BORA DARASANI, MATOKEO BORA YA MITIHANI"

    September 03, 2025
  • TAFUTENI FURSA ZA UWEKEZAJI KATIKA MAENEO YENU. MJUNGU

    August 28, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akitoa maelezo juu ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa