• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba Municipal Council
Bukoba Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Mipango miji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo Uwekezaji
    • Ufugaji Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mfuko wa Afya
      • Kodi ya Majengo
      • Hati Rasmi
    • Mpango Mkakati
      • Ripoti Mbalimbali
        • Council Annual Report
          • Kituo cha Habari
            • Taarifa kwa Umma
            • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
            • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
        • Quarterly Financial Report
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu Mbalimbali
      • Leseni ya Biashara
      • Fomu ya uadilifu
      • Fomu ya OPRAS
    • Ripoti Mbalimbali
      • Council Annual Report
        • Kituo cha Habari
          • Taarifa kwa Umma
          • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
          • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)
      • Quarterly Financial Report
    • Miongozo mbalimbali
      • Kanuni za Uchaguzi
      • Mwongozo wa Kuendesha Tovuti
      • Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi na Salama ya Vifaa na Mifumo ya TEHAMA Serikalini
    • Bukoba MC Profile
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.)

Watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba wapewa mafunzo kuhusu Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi

Posted on: October 7th, 2025

Watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba wamepewa mafunzo maalumu kuhusu huduma, madhumuni na taratibu za Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), hatua inayolenga kuongeza uelewa wa wadau wa umma kuhusu haki za wafanyakazi na jinsi ya kuwasilisha madai ya fidia.

Mafunzo hayo, yaliyoandaliwa kwa ushirikiano na WCF, yalijumuisha mada za utambuzi wa ajali na magonjwa yanayotokana na kazi, mchakato wa kuwasilisha madai kupitia mfumo wa mtandaoni na wajibu wa mwajiri katika kuhakikisha wafanyakazi wamejiandikisha na kupata mafao yaliyoainishwa kisheria.

WCF imekuwa ikiendesha mfululizo wa semina za aina hii katika mikoa mbalimbali ili kuhamasisha uandikishaji na utoaji wa huduma za fidia.

Wahudhuliaji walifundishwa pia kuhusu umuhimu wa nyaraka, tathmini za ulemavu (impairment assessments) na jinsi ya kutoa taarifa za ajali au ugonjwa unaohusiana na kazi kwa wakati ili kuharakisha mchakato wa malipo.

Mafunzo hayo yamekuja wakati Mfuko wa Fidia unaendelea kutangaza matumizi ya mfumo wake wa mtandaoni kwa ajili ya uwasilishaji wa madai na ufuatiliaji wa michango.

Afisa kutoka WCF Mkpa wa Geita ambaye pia anahusika moja kwa moja na Mkoa wa Kagera Ndg. Jimmy Msangi alisema mafunzo ni sehemu ya juhudi za taasisi hiyo za kuhakikisha waajiri na watumishi wa sekta za umma na binafsi wanafahamu haki na wajibu wao chini ya Sheria ya Fidia kwa Wafanyakazi (Sura 263), ikiwa ni pamoja na hatua za kisheria za kuchukua dhidi ya waajiri wasiozingatia masharti ya usajili na michango.

Kwa upande wake, Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba ilibainisha kuwa kuimarisha uelewa wa watumishi juu ya mfuko huo kutasaidia kupunguza ukosefu wa taarifa, kuongeza uwazi katika utumizi wa rasilimali na kuhakikisha wafanyakazi wanatunzwa pale panapotokea ajali au magonjwa yanayotokana na kazi.

Mafunzo ya hivi karibuni yanaambatana na kampeni za kitaifa za WCF za kueneza matumizi ya huduma za mfuko na kuhimiza waajiri kuwasilisha madai kupitia jukwaa la kielektroniki ili kurahisisha huduma na kupunguza ucheleweshaji wa malipo ya fidia.

WCF pia imekuwa ikitoa mafunzo maalumu kwa wataalamu wa afya ili kuboresha utambuzi na tathmini ya magonjwa na ulemavu unaohusiana na kazi.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UCHAGUZI MKUU 2025 October 02, 2025
  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 15, 2025
  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU March 22, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BUKOBA MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 10, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • PASS TRUST YAENDELEA NA JUKWAA LA BIASHARA BUKOBA, YAWEKA MKAZO KWA USHIRIKIANO NA TAASISI ZA FEDHA KUKUZA SEKTA YA KILIMO

    October 10, 2025
  • BURUTE SACCOS YATIMIZA MSINGI WA SABA WA USHIRIKA WA KUJALI JAMII

    October 10, 2025
  • Watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba wapewa mafunzo kuhusu Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi

    October 07, 2025
  • RCA YAWANOA WADAU NAMNA BORA YA KUWALEA WATOTO WA MITAANI

    September 25, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akitoa maelezo juu ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ya Mbalimbali
  • Nyaraka mbalimbali
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu Huria

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bukoba Municipal Coucil

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 284 Bukoba

    Telephone: +255 28 2220226

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@bukobamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2017 Manispaa ya Bukoba .Haki zote Zimehifadhiwa